Rais Samia: Rushwa ndani ya chama ni tabia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Samia akipokea ripoti ya kikosi kazi ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi amesema rushwa katika vyama vya siasa ni tabia.

Ametolea mfano baadhi ya vyama kuwalaza watu kwenye maeneo mazuri ili kupata kura za wajumbe.

Amesema kazi ya kupambana na rushwa ni ya kila mmoja na rushwa ipo kotekote sio suala la serikali tu.

Zipo rushwa ndogo ndogo maeneo mengi ambapo inapaswa kupiganwa
 
Hasa kijani..wao rushwa ni kama samaki na maji.

#MaendeleoHayanaChama
 
kuna jamaa wa ccm anatarajia kugombe nafasi flani hivi ngazi ya mkoa mwezi ujao
alalalalala ile rushwa inayotembea pale mungu tu ndiye anayejua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…