Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1750933780911.png

1750933757692.png
 
All the best my best President
Nakutakia maisha mazuri na mi🖐️tena japo sijui kwa nn watu wanasema mitano tena wakati ndio unaanza inatakiwa kuwa 10
Kumbe ilitakiwa 10?
 
Rais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3384424
View attachment 3384423
Anakuja Dodoma kufungua kiwanda kikubwa Cha Mbolea Cha Intracom lililopo eneo la NALA Dodoma.

Habari ya kuvunja Bunge limeahirishwa hadi mwezi Agosti 2025. Hivyo wabunge wataendelea kula mshahara wa Julai na Agosti.
 
Ufipa watalalamika kwa nini kapanda treni, anyway, anaenda Dodoma kufunga chapter ya reform, mpaka Bunge lijalo
 
Anakuja Dodoma kufungua kiwanda kikubwa Cha Mbolea Cha Intracom lililopo eneo la NALA Dodoma.

Habari ya kuvunja Bunge limeagirishwa hadi mwezi Agosti 2025. Hivyo wabunge wataendelea kula mshahara wa Julai na Agosti.
Lazima livunjike
 
Back
Top Bottom