Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

Rais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3384424
View attachment 3384423
Safi sana hivi ndivyo inatakiwa huduma zote za umma ziwe hivyo ziwe classic iwe usafiri,shule za msingi na za sekondari za umma na hospital nk ziwe na huduma nzuri kiasi kuwa hata viongozi wapende kuzitumia na familia zao huduma za umma

Safi sana .Raisi Samia ni mwanzo mzuri na hiyo SGR
 
Nami nimo safarini 😁✔️
Sahihi umenipita hapa Msamvu Morogoro umekaa juu ya Roli lenye magunia ya mkaa
Umekaa juu ya Magunia .Mkaa unaenda Dodoma. Safari njema.Chunga huko juu usiguse nyaya za umeme likiwa linapita sehemu zenye nyaya ulale chali kuokoa uhai wako
 
Kwani mbubujikwa machozi ya furaha hajafika ? Lukasi na mwenzie tlaatlaah ? au walirud na lift za mwenge ?
 
Back
Top Bottom