Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

Kwani shida nini yuko safarini hutaki a relax? Safarini?

Trump akiwa safarini kwenye ndege huwa anaangalia movie
Safi sana tuendelee na hali hii mpaka tuwe kama Congo. Nyerere alituunganisha akasahau economic prosperity mpaka leo kuishi maisha ya shida ni uzalendo. Kenyatta aliwagawanya akakumbatia economic prosperity, lakini vijana wa kenya wanaamka na wanaungana na kuweka ukabila pembeni. Sisi bado tupo na kukubali umasikini wetu kama uzalendo. Sasa jiulize wakenya wakaungana na tayari wana prosperity kubwa kiuchumi unategemea nini ? Sisi bado tunaishi maisha ya wakenya kipindi cha Moi.
 
Anakuja Dodoma kufungua kiwanda kikubwa Cha Mbolea Cha Intracom lililopo eneo la NALA Dodoma.

Habari ya kuvunja Bunge limeahirishwa hadi mwezi Agosti 2025. Hivyo wabunge wataendelea kula mshahara wa Julai na Agosti.
Kati yako na spika tumuamini nani?
 
Anakuja Dodoma kufungua kiwanda kikubwa Cha Mbolea Cha Intracom lililopo eneo la NALA Dodoma.

Habari ya kuvunja Bunge limeahirishwa hadi mwezi Agosti 2025. Hivyo wabunge wataendelea kula mshahara wa Julai na Agosti.
Why lihairishwe
 
Back
Top Bottom