Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

Safi sana behewa zuri.
, naona mama Yuko na dongle KAZI iendelee
 
Safi sana hivi ndivyo inatakiwa huduma zote za umma ziwe hivyo ziwe classic iwe usafiri,shule za msingi na za sekondari za umma na hospital nk ziwe na huduma nzuri kiasi kuwa hata viongozi wapende kuzitumia na familia zao huduma za umma

Safi sana .Raisi Samia ni mwanzo mzuri na hiyo SGR
Unamaanisha huduma kama hizi?
 
Na yeye aage kabisa kabisa, na hata kama akirudi kwa nguvu hatakuwa na heshiman yoyote ile nndani na nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom