Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Hii
Aww mnamaanisha nini?Aww🥰🥰
Aww mnamaanisha nini?Aww🥰🥰
Hujui huyo ndio nembo inayoishi ya Tanzania? Lazima macho yetu yawe kwenye reli kumlinda mamaKwamba Rais akipanda SGR hiyo ni taarifa kwa umma.
Acha ndoto za alinachaReforms za uchaguzi
Mama anaperuzi Jf...goodRais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hilo umesema weweMbona anashikwashikwa na kila mtu
Si picha hiyo imeonekana!Hilo umesema wewe
Hilo huwa ni Maalumu kwa Kiongozi wa nchiHili huwa ni behewa namba ngapi mbona sijawahi kuliona?
Nimeshindwa kuelewa Kichwa cha treni kitakua wapiWazee wa VAR nawaomba tafadhali
Nani ameona kitabu chekundu ? Omba jina lako lisiingie huko 🤣Rais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mama Abdul bwana, utafikiri si muuaji vile, hapa alikuwa anachat na kina Steve Nyerere, Mwajaku, Baba Levo na Shilole kupata mustakabali wa nchi.Rais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Steve Nyerere aliniambia kuwa kijana Ndengaso yumo ndani ya hicho kitabu, akisubiri kutekwa tu.Nani ameona kitabu chekundu ? Omba jina lako lisiingie huko 🤣
Dah! Mwanamke ni mwanamke aisee
Alikua msumbiji kaunganisha dodomaThats means Hakuepo Dodoma.
Thats means Hakai Dodoma
Thats means, Hapapendi Dodoma
Thats means, ile ikulu nayo ni white elephant project
TZ kaikukuta ataiachaHujui huyo ndio nembo inayoishi ya Tanzania? Lazima macho yetu yawe kwenye reli kumlinda mama
Ni mitano Mkuu.All the best my best President
Nakutakia maisha mazuri na mi🖐️tena japo sijui kwa nn watu wanasema mitano tena wakati ndio unaanza inatakiwa kuwa 10
Kwa mujibu wa picha yupo behewa la kwanza au la mwisho?Ufipa watalalamika kwa nini kapanda treni, anyway, anaenda Dodoma kufunga chapter ya reform, mpaka Bunge lijalo