Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

Hiyo laptop imefunguliwa kweli? Isijekuwa kama yule wa ulinzi na darubini.
 
Mama Abdul bwana, utafikiri si muuaji vile, hapa alikuwa anachat na kina Steve Nyerere, Mwajaku, Baba Levo na Shilole kupata mustakabali wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…