Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

hatimaye wamejitokeza na kuonyesha sababu kuu ya huu ubinafsishaji ni 35% ya hisa watakazo chukua baadhi yetu , kwenye huo mgodi WA bandari.
Nilivyoona rostam ni miongoni mwa watetezi wa huu wizi nikajua tumekwisha.
 
Huyu mama ni kiazi tu
Ziro brain
Alijisainia tu, hata kama kitanda chake kinauzwa yeye ni twende tu
 
29 June 2022

Mombasa

Muungano wa vyama chini ya mwamvuli wa Kenya Kwanza wa mgombea urais William Ruto wapinga bandari kubinafsishwa





Muungano wa Kenya Kwanza sasa unadai kuwa Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ndani ya Azimio la Umoja One Kenya wamehusika kwenye mkataba wa kuhamisha usimamzi wa bandari za Mombasa, Lamu na Naivasha kwa kampuni ya kibinafsi kutoka nchini ya uarabuni. Vinara wa vyama tanzu vya muungano huo wanadai mkataba huo ulifanyika kisiri na unalenga kunufaisha watu binafsi.... muungano wa Kenya Kwanza umedai una mawakili mahiri wa kutosha kupeleka madai Mahakamani kuoneshwa dili hilo la muungano wa Azimio la Umoja One Kenya ikiwa wataficha kuwapa habari wananchi wa Kenya kuhusu ..
 
Toka sekeseke la bandari litokee nawasikia wapambe wa rais na viongozi wengine wakijaribu kueleza uzuri wa mkataba. Kwa bahati mbaya maelezo yao hayajakidhi kiu ya wananchi badala yake ni kama wanaweka petroli kwenye moto. Natoa rai kwa rais kwamba yeye ni mtumishi (civil servant) na 1 na anawajibika kwa Watanzania. Linapotokea jambo zito kama hili lenye muelekeo wa kuligawa taifa ajitokeze na kutoa ufafanuzi wa kuridhisha au vinginevyo achukue hatua kupunguza hayo yanayobishaniwa. Vinginevyo taifa linaparaganika.
 
.
20230715_185413.jpg
 
Back
Top Bottom