Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangulizi alikuwa makini ..Walioipitisha hiyo mikataba ni hawa hawa kina Hamza Johari ambao leo wanaonekana ni wasaliti kwenye nchi yao!, ndio uishangae Tanzania.
Chuki za kumnyanyapaa rais na waziri Mbarawa zinaonekana zina mantiki awamu hii kwa suala hili la DPW wakati wanasheria waliopitisha mikataba ya JPM ndio hawa hawa wanaofanya kazi na SSH.
Safari hii raha sana, Watanzania tumeungana tumekuwa kitu kimoja.Tunaunga mikono na miguu jitihada za serikali kuleta maendeleo.
Ila huu mkataba wa bandari waufute tu.
To be honest ni mkataba batili.
Hata angekuwa hai na kuingia mkataba wa DP hakuna ambaye angeinua mdomo wake na kuanza kumlaumu, kwanza hakuna ambaye angejua nini kinaendelea.Hata hasimu wake mkubwa Tundu Lisu anakili wazi kuwa JPM hakuwa na hizo tabia za wizi ndio maana anaaminiwa hakutuingiza kwenye majanga.
Nilimshangaa sana Jana, Yan suala la Bendera kwenye jengo la wadubai, yeye anaona ni habari kubwa.Kunautofauti pia, hao wenzetu jengo limewaka bendera zao tu kuonesha uzarendo wao sisi ilikuwa lilionesha picha ipi?
Ondoa utoto wako. Naona huna akili kabisa. Rais Dkt Samia alichokisema pale wengi hamjamuelewa hasa ninyi wenye chuki. Alitolea mfano halafu mmedakia. Acheni rais wetu afanye kazi.Kosa kubwa sana, ni kutawaliwa na mtu mwenye Uwezo Mdogo ,mwenye demokrasia ya mambo mepesi mepesi!!.
Kiongozi unafurahia Bendera kupeperushwa jengo la wadubai?? are you serious?
Yaan Bendera kupeperushwa pale, ndio habari ya kuongea mbele ya vyombo vya habari na vyombo vya Usalama kama taarifa Kwa wananchi??.
Mbona JPM hakuangaika kujitangaza, ila kazi zake zilizotukuka zilimtangaza ?.
Bendera ?? Bendera hiii kwamba hata royo tuwa haijasaidia kitu?.
Baba Mwenyezi Mungu, Lirehem hili Taifa !!.
Aliekuchukulia ubongo wako alaaniwe!!Mkataba una shida gani?
Hivi suala la kuuza ni Tanzania ndio imeuza au serikali tawala? Naomba elimu juu ya hili...
Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee.
Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya, nanukuu
Nataka niseme vizuri hili suala la fursa na watu wanavyozitumia. Ndugu zangu wakati sisi tunalumbana bandari yetu apewe nani, iende isiende, ikae, ivue, isivue, wenzetu kwa kuona malumbano yetu mmeona wame-jump wamekwenda kulekule, na lile jumba lililowekwa bendera ya Tanzania, limewekwa bendera ya jirani.
Sasa Tanzania tumeuza, wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?
Na siku ambayo Bunge letu hapa lilisema kwamba ni ruhusa bandari yetu iendeshwe na Serikali na sekta binafsi, siku ya pili wenzetu wakasema ninyi moja? Sisi zote zilizoko huku ziende private sector na wakakimbilia kwenda kule kwenda kuwahi nafasi. Kama wale wanalumbana, njooni huku.
Sasa muone jinsi fursa zinavyokuja na kukimbia haraka haraka na jinsi wengine wanavyoweza kuzitumia haraka haraka.
Nimesema tu nitoe mfano huo kuona changamoto na jinsi ya kupata fursa kuzitumia na kuzifanya zisiponyoke.
Nani huyo?Aliekuchukulia ubongo wako alaaniwe!!
Ukiona mtu anajiita Chawa maana yake kichwan kajaza matope .Ondoa utoto wako. Naona huna akili kabisa. Rais Dkt Samia alichokisema pale wengi hamjamuelewa hasa ninyi wenye chuki. Alitolea mfano halafu mmedakia. Acheni rais wetu afanye kazi.
Unajua kuwa JPM alisusiwa na mataifa makubwa alikuwa anaendesha nchi kiubishi tu?.Kosa kubwa sana, ni kutawaliwa na mtu mwenye Uwezo Mdogo ,mwenye demokrasia ya mambo mepesi mepesi!!.
Kiongozi unafurahia Bendera kupeperushwa jengo la wadubai?? are you serious?
Yaan Bendera kupeperushwa pale, ndio habari ya kuongea mbele ya vyombo vya habari na vyombo vya Usalama kama taarifa Kwa wananchi??.
Mbona JPM hakuangaika kujitangaza, ila kazi zake zilizotukuka zilimtangaza ?.
Bendera? Bendera hiii kwamba hata royo tuwa haijasaidia kitu?.
Baba Mwenyezi Mungu, Lirehem hili Taifa !!.
Wewe ndio hujui unaandika nini. Mkataba umeilenga TPA, kumbuka maneno WILL na SHALL yanapotumika humaanisha maana mbili tofauti.Mama mswahili huyu.
Analeta mipasho kwenye mambo serious
Huku bandari gani moja anayoongelea?
Inaonekana alitoa ruhusa ya bandari moja tu wajanja wamekabidhi zote.
Hajui mkataba huyu
Wanasogea hatua mbele kutoka kwenye majadiliano na sasa inakwenda kuandikwa mikataba ya utekelezaji.Who's is fu.ckin.g johar in this country!?Wasomi wote waupinge then tuwapuuziie , halafu ndio tumsikilize mjinga mjoja sujui anaitwa johari!?
Hivi huyu bimkubwa bado tu hajajua kuwa sisi watanzania tunahitaji sana hao wawekezeji kuliko anavyo fikiri shida yetu ni kuweka wazi mkataba una hitaji nni na hatuhitaji nni mambo yote yakiwa bayana mbona hatuna shida ........ mbona mlimani city inaendeshwa na secta binafsi na maisha yanaendelea wanacho ficha ni nni
Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee.
Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya, nanukuu
Nataka niseme vizuri hili suala la fursa na watu wanavyozitumia. Ndugu zangu wakati sisi tunalumbana bandari yetu apewe nani, iende isiende, ikae, ivue, isivue, wenzetu kwa kuona malumbano yetu mmeona wame-jump wamekwenda kulekule, na lile jumba lililowekwa bendera ya Tanzania, limewekwa bendera ya jirani.
Sasa Tanzania tumeuza, wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?
Na siku ambayo Bunge letu hapa lilisema kwamba ni ruhusa bandari yetu iendeshwe na Serikali na sekta binafsi, siku ya pili wenzetu wakasema ninyi moja? Sisi zote zilizoko huku ziende private sector na wakakimbilia kwenda kule kwenda kuwahi nafasi. Kama wale wanalumbana, njooni huku.
Sasa muone jinsi fursa zinavyokuja na kukimbia haraka haraka na jinsi wengine wanavyoweza kuzitumia haraka haraka.
Nimesema tu nitoe mfano huo kuona changamoto na jinsi ya kupata fursa kuzitumia na kuzifanya zisiponyoke.
Usijitoe akili!!Nani huyo?
Azunghumzie yaliyomo kwenye mkataba! Je ameshauona huo mkataba wa majirani? Hatukatai uwekezaji, tunakataa mkataba wa wizi!