mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Nimeandika nikafuta
Poor Tanganyika
Poor Tanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliofail ni wewe na umekata pumzi.Huna unacheolezea.Leo nimemsikia japo Kwa Mbali na Huwa sipendi kumsikia anaongea nini, Kwanza anatia huruma . Pumzi imekata kabisaa na wasaidizi wake wanazidi kumdanganya.
Nilitegemea nimsikie akitoa ufafanuzi Kwa Nini aliingia mikataba wa hovyo kama ule. Baadala Yake karudia ngojera zilezile eti tutapata faida.
Nilichosikitisha Zaidi ni yeyé kutoa mfano eti wenzetu wamekimbilia huko, whaaat kwa hiyó DPW ni Maembe ya bure tuyakimbilie kichwa kichwa bila kujiuliza.
Samia kafail pakubwa sana
Sasa ndiyo umeandika utumbo gani huu?Leo nimemsikia japo Kwa Mbali na Huwa sipendi kumsikia anaongea nini, Kwanza anatia huruma . Pumzi imekata kabisaa na wasaidizi wake wanazidi kumdanganya.
Nilitegemea nimsikie akitoa ufafanuzi Kwa Nini aliingia mikataba wa hovyo kama ule. Baadala Yake karudia ngojera zilezile eti tutapata faida.
Nilichosikitisha Zaidi ni yeyé kutoa mfano eti wenzetu wamekimbilia huko, whaaat kwa hiyó DPW ni Maembe ya bure tuyakimbilie kichwa kichwa bila kujiuliza.
Samia kafail pakubwa sana
Andika tenaNimeandika nikafuta
Poor Tanganyika
Kiufupi zile Kelele za sukuma gang Keisha KabisaUliofail ni wewe na umekata pumzi.Huna unacheolezea.
Mkuu wacha nikae kimya tuuAndika tena
Tafuta msosi Kwa wanakoLeo nimemsikia japo Kwa Mbali na Huwa sipendi kumsikia anaongea nini, Kwanza anatia huruma . Pumzi imekata kabisaa na wasaidizi wake wanazidi kumdanganya.
Nilitegemea nimsikie akitoa ufafanuzi Kwa Nini aliingia mikataba wa hovyo kama ule. Baadala Yake karudia ngojera zilezile eti tutapata faida.
Nilichosikitisha Zaidi ni yeyé kutoa mfano eti wenzetu wamekimbilia huko, whaaat kwa hiyó DPW ni Maembe ya bure tuyakimbilie kichwa kichwa bila kujiuliza.
Samia kafail pakubwa sana
Tusubiri mvua inyeshe tujue panapovujaLeo nimemsikia japo Kwa Mbali na Huwa sipendi kumsikia anaongea nini, Kwanza anatia huruma . Pumzi imekata kabisaa na wasaidizi wake wanazidi kumdanganya.
Nilitegemea nimsikie akitoa ufafanuzi Kwa Nini aliingia mikataba wa hovyo kama ule. Baadala Yake karudia ngojera zilezile eti tutapata faida.
Nilichosikitisha Zaidi ni yeyé kutoa mfano eti wenzetu wamekimbilia huko, whaaat kwa hiyó DPW ni Maembe ya bure tuyakimbilie kichwa kichwa bila kujiuliza.
Samia kafail pakubwa sana
Mungu wangu! Kumbe mama anajua DPW kapewa bandari moja? Kumbe mama anauza nchi bila kujua.
Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee.
Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya, nanukuu
Nataka niseme vizuri hili suala la fursa na watu wanavyozitumia. Ndugu zangu wakati sisi tunalumbana bandari yetu apewe nani, iende isiende, ikae, ivue, isivue, wenzetu kwa kuona malumbano yetu mmeona wame-jump wamekwenda kulekule, na lile jumba lililowekwa bendera ya Tanzania, limewekwa bendera ya jirani.
Sasa Tanzania tumeuza, wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?
Na siku ambayo Bunge letu hapa lilisema kwamba ni ruhusa bandari yetu iendeshwe na Serikali na sekta binafsi, siku ya pili wenzetu wakasema ninyi moja? Sisi zote zilizoko huku ziende private sector na wakakimbilia kwenda kule kwenda kuwahi nafasi. Kama wale wanalumbana, njooni huku.
Sasa muone jinsi fursa zinavyokuja na kukimbia haraka haraka na jinsi wengine wanavyoweza kuzitumia haraka haraka.
Nimesema tu nitoe mfano huo kuona changamoto na jinsi ya kupata fursa kuzitumia na kuzifanya zisiponyoke.
Watanzania yaani nadharia nyingi ila uhalisia sasa hamna kitu achana na mambo tulipaswa kipi nireality sijui tumerogwa yaani hatuoni ukweli sijui tumelishwa nini yaani sisi wa kushindana na Dubai kwa sasa kwenye utendaji kazi wa bandari kweli kweli hio labda iwe hivi tuwaachie bandari wawekeze halafu tuwanyanganye halafu tushindane nao yaani uwezo wetu wa kusupport bajeti yetu 100% kabisa bila kutegemea popote tu hatujafikia halafu ndio tuanze kuleta umwamba wa kushindana hembu tuwe na uhalisia tuuuvae uhalisia bila foreign direct investment hatuwezi kutoboa we need it ili tuweze kukua lakini pia kuongeza wigo mpana wa masoko toka huko makampuni mageni yalikotoka.Mungu wa Mbinguni asaidie Taifa letu na Viongozi wake. Kwamba Tanzania imefikia mahali tunatishiwa kwa bendera ya nchi jirani kupeperushwa kwenye jengo refu kuliko yote duniani.
Hii ni Tanzania iliyo na historia ya kuongoza mapambano ya ukombozi wa nchi za Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ama?
Tanzania tunatakiwa Bandari yetu iwe mshindani wa Bandari ya Dubai na hizi za nchi za jirani wala si vinginevyo.
Hatuwezi kuwa wa shindani wa bandari ya Dubai kama watatuendeshwa wao tutaishia kubemendwa.
Huo ndio ukweli mchungu na mkataba wa makubaliano ya awali unaonesha hivyo.
Watanzania yaani nadharia nyingi ila uhalisia sasa hamna kitu achana na mambo tulipaswa kipi nireality sijui tumerogwa yaani hatuoni ukweli sijui tumelishwa nini yaani sisi wa kushindana na Dubai kwa sasa kwenye utendaji kazi wa bandari kweli kweli hio labda iwe hivi tuwaachie bandari wawekeze halafu tuwanyanganye halafu tushindane nao yaani uwezo wetu wa kusupport bajeti yetu 100% kabisa bila kutegemea popote tu hatujafikia halafu ndio tuanze kuleta umwamba wa kushindana hembu tuwe na uhalisia tuuuvae uhalisia bila foreign direct investment hatuwezi kutoboa we need it ili tuweze kukua lakini pia kuongeza wigo mpana wa masoko toka huko makampuni mageni yalikotoka.
Na hilo ndilo tatizo kuu! Ajabu wanajifanya wanajuaaaaTatizo hamjui anachojua yule Mama
Ila by 2025 naamini InshaaAllah tutasema mengine
Hii nayo ni akili ya mtu anayejiamini na uchungu na rasimali zake?"Wakati sisi tunalumbana bandari apewe nani iende isiende, ikae, ivue isivue, wenzetu kwa kuona malumbano yetu wame-jump wamekwenda kulekule, lile lile jumba lilowekwa bendera ya Tanzania limewekwa bendera ya jirani, sasa Tanzania tumeuza wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?, na siku ambayo bunge letu lilisema ni ruhusa bandari iendeshwe na serikali na sekta binafsi siku ya pili wenzetu wakasema nyinyi moja, sisi zote ziende private sector wakakimbia kule kuwahi nafasi,"- Rais @samia_suluhu_hassan
"Sasa muone jinsi ambavyo fursa zinavyokuja na kukimbia haraka haraka na jinsi wengine wanavyoweza kuzitumia haraka haraka, nilisema nitoe tu mfano huo kuona changamoto na jinsi ya kuzitumia fursa na kuzifanya zisichomoke,"- Rais Samia
#ViapoIkulu
#EastAfricaTV
Daaaah anaongelea hii au ipi? 👇👇👇