Kama upo naye karibu muulize, mkataba wa huyo jirani ameuona., maana hawa jamaa wakikutana na Nchi zenye watu wanaojielewa wanakuwa serious sana, ila wakikutana na Nchi Kama zetu wanatuona kama omba.
Yaani inakuwa kama vile wao tunawahitaji saana watusaidie, wakati wao pia wanaviitaji vitu vyetu tena kwa ulaghai, wanufaike zaidi wao kuliko wew mwenye nyumba. Mambo haya utayaona kwenye Nchi za Kiafrica tu zenye Watawala wasiojielewa nin wanataka, wanataka Nchi zao zifike wapi nanikwamda gani.,
Africa ilikuwa na viongozi wale wa mwanzo tu baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni, lakini hawa waliofuata ni wanafiki, wabinafsi, wafisadi na wasiozitakia mema Nchi zao. Africa inaongoza kwa kuwa na vita za wenyewe kwa wenyewe, na hii yote inatokana na kuwa na mifumo mibovu ya kiutawala., na watawala kuiona Nchi kama familia yake akitaka chochote anafanya bila kuangalia masirahi ya Wananchi.