USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Kuwa na msimamamo basi unawanaume wangapi?Natamani wanaopinga bandari watekwe
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na msimamamo basi unawanaume wangapi?Natamani wanaopinga bandari watekwe
Kakaririshwa huyo.Mkataba una shida gani?
PakweniWakipakwa kilainishi na sisi tupakwe?
Aina ya mkataba ndio wa kisasa, mbona JPM alisaini mkataba wa bomba la mafuta, uliwahi kuuona unafananaje?.Mama hajatuelewa kwa nini?
Sisi nani kamwambia tunakataa wawekezaji?
Kwa nini anaona ugumu kuelewa kinachopingwa ni aina ya mkataba na sio mwekezaji?
Nchi ngumu sana hii!
Korona pumbafu zake kabisa!
Vifungu vipi vinasema hayo?Shida siyo uwekezaji, huko sisi tumeshapita. Si mnaona tunavyo furahia uwekezaji pale Simba na Yanga? Na timu zinafanya vizuri Sababu ya uwekezaji. Lakini tukiambiwa huyu mwekezaji atadumu milele na hakuna mwekezaji mwingine anaruhusiwa bila idhini ya mwekezaji aliyepo unadhani patakalika? Shida ipo kwenye MKATABA.Toeni utata, tusonge mbele.
hiki kibibi bogus kabisa hiki, kwani wale wamesaini mkataba wa kipumbavu kama huu wetu?
Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee.
Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya, nanukuu
Nataka niseme vizuri hili suala la fursa na watu wanavyozitumia. Ndugu zangu wakati sisi tunalumbana bandari yetu apewe nani, iende isiende, ikae, ivue, sivue, wenzetu kwa kuona malumbano yetu mmeona wame-jump wamekwenda kulekule, na lile jumba lililowekwa bendera ya Tanzania, limewekwa bendera ya jirani.
Sasa Tanzania tumeuza, wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?
Na siku ambayo Bunge letu hapa lilisema kwamba ni ruhusa bandari yetu iendeshwe na Serikali na sekta binafsi, siku ya pili wenzetu wakasema ninyi moja? Sisi zote zilizoko huku ziende private sector na wakakimbilia kwenda kule kwenda kuwahi nafasi. Kama wale wanalumbana, njooni huku.
Sasa muone jinsi fursa zinavyokuja na kukimbia harakaharaka na jinsi wengine wanavyoweza kuzitumia haraka haraka.
Nimesema tu nitoe mfano huo kuona changamoto na jinsi ya kupata fursa kuzitumia na kuzifanya zisiponyoke.
Mkataba upi wa kipumbavu? Una upumbavu gani?hiki kibibi bogus kabisa hiki, kwani wale wamesaini mkataba wa kipumbavu kama huu wetu?
nani anamshauri huyu bibi? huyu alistahili kuwa mchambawima kulea wajukuu
Rais Samia tunamwomba atuelewe vizuri. Hatuna nongwa naye. Tena sisi wengine ni kati ya watu tuliokuwa mstari wa mbele kumpongeza katika mengi. Na sisi wengine tumefanya kazi mataifa mbalimbali kama sehemu ya management ya makampuni makubwa ya uwekezaji.
Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee.
Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya, nanukuu
Nataka niseme vizuri hili suala la fursa na watu wanavyozitumia. Ndugu zangu wakati sisi tunalumbana bandari yetu apewe nani, iende isiende, ikae, ivue, sivue, wenzetu kwa kuona malumbano yetu mmeona wame-jump wamekwenda kulekule, na lile jumba lililowekwa bendera ya Tanzania, limewekwa bendera ya jirani.
Sasa Tanzania tumeuza, wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?
Na siku ambayo Bunge letu hapa lilisema kwamba ni ruhusa bandari yetu iendeshwe na Serikali na sekta binafsi, siku ya pili wenzetu wakasema ninyi moja? Sisi zote zilizoko huku ziende private sector na wakakimbilia kwenda kule kwenda kuwahi nafasi. Kama wale wanalumbana, njooni huku.
Sasa muone jinsi fursa zinavyokuja na kukimbia harakaharaka na jinsi wengine wanavyoweza kuzitumia haraka haraka.
Nimesema tu nitoe mfano huo kuona changamoto na jinsi ya kupata fursa kuzitumia na kuzifanya zisiponyoke.
Mama aache kutupanga, akampange Fei toto ndio mzenji mwenzake.Natamani wanaopinga bandari watekwe
waende na kawafuate kama unataka, wale ni wasomi na wanauzalendo na nchi yao hawawezi ingia mkata mbovu kama huu wa kwetu
Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee.
Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya, nanukuu
Nataka niseme vizuri hili suala la fursa na watu wanavyozitumia. Ndugu zangu wakati sisi tunalumbana bandari yetu apewe nani, iende isiende, ikae, ivue, sivue, wenzetu kwa kuona malumbano yetu mmeona wame-jump wamekwenda kulekule, na lile jumba lililowekwa bendera ya Tanzania, limewekwa bendera ya jirani.
Sasa Tanzania tumeuza, wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?
Na siku ambayo Bunge letu hapa lilisema kwamba ni ruhusa bandari yetu iendeshwe na Serikali na sekta binafsi, siku ya pili wenzetu wakasema ninyi moja? Sisi zote zilizoko huku ziende private sector na wakakimbilia kwenda kule kwenda kuwahi nafasi. Kama wale wanalumbana, njooni huku.
Sasa muone jinsi fursa zinavyokuja na kukimbia harakaharaka na jinsi wengine wanavyoweza kuzitumia haraka haraka.
Nimesema tu nitoe mfano huo kuona changamoto na jinsi ya kupata fursa kuzitumia na kuzifanya zisiponyoke.
Kwa akili hizi hata mkielimishwa kuhusu vipengele vya mkataba ni kupoteza muda tu. Nilimuelewa sana JPM hakulea vichwa vya aina hii, mikataba mingi aliingia akiwa rais na hakuna hata mmoja tuliojadili kama huu wa bandari.Who's is fu.ckin.g johar in this country!?Wasomi wote waupinge then tuwapuuziie , halafu ndio tumsikilize mjinga mjoja sujui anaitwa johari!?
yote ni kutustua sisi watz, lakini katika huu mkataba mbovu hatutetereki labda tuanze moja kama wanataka mccm fisadi wametuuzaKunautofauti pia, hao wenzetu jengo limewaka bendera zao tu kuonesha uzarendo wao sisi ilikuwa lilionesha picha ipi?
Hakuna aliyekosea, hao walioshiriki kuiandaa hiyo IGA ni waalimu wa sheria kina Dr Possi na Hamza, usidhani ni wajinga wajinga tu waliokotwa.Siyo kwamba hawajui kinachobishaniwa. Wanajitoa ufahamu makusudi tu. Walete hapa IGA ya Kenya kama nayo itakuwa na Mkataba wa milele Kwa wa kwetu. Watu gani rigid hivi hamtaki kukubali mmekosea mkasahihisha?