SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Usipende kuingilia mazungumzo ya watu wazima.
Nenda kacheze na watoto wenzako, au kama hutaki kakojoe ukalale
Nenda kacheze na watoto wenzako, au kama hutaki kakojoe ukalale
Samia ni Rais mwanamageuzi sio Rais wa kukariri ujinga ujinga kisa tuu sijui wazee sijui upuuzi gani hakuna nonsense..
Kwanza amesema hakuna kuogopa kubadili muelekeo wa Nchi kama Kuna manufaa regardless of maumivu ,mtazoea tuu [emoji91][emoji91]