real life skills
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 233
- 238
Ulikuwa hujazaliwa wakati Hayati Magu alipokuwa anakutana na machifu? Mpaka wengine wakampa jina la kilekangano.Kuwatambua rasmi machifu kwa Tanzani linaweza kuwa Janga. Tujiulize kwanza kwa nini Nyerere aliwafutilia mbali? Naona Rais Samia hajiulizi watangulizi wake walikuwa wanakwama wapi katika mambo aliyokuta yamekwama. Kwa mfano haya ya machifu, Ya Zanzibar na bahari kuu, ya Bandari ya Bagamoyo nk.
Hii kitu inahitaji tafakuri tunduizi vinginevyo nchi vipande vipandeAnachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu.
Yaani viongozi wa kiukoo, kikabila Watu hawa wanastahili kuachiwa kabisa nje ya mfumo kama ambavyo imekuwa miaka yote ya uhuru. Kuna nini hadi Rais anawatafuta kwa nguvu zote hizo?
Museveni aliwadekeza Baganda, matokeo yake hadi leo ndani ya Kampala anaonekana ni mpangaji asiyetakiwa. Kule Kasese mwaka 2016 hadi mauaji yalitokea kwa sababu ya kudekezwa. Hatuhitaji tawala za kichifu/kikoo ktk nchi hii.
Hivi watu wengine mlisomeaga shule za wapi?Ni kweli kabisa Mkuu. Hata afanye nn sasa hivi hawezi kuaminiwa tena. Tangu lini Mwanamke akatawazwa kuwa Chifu?? Hii ni laana na mikosi Kwa Wale wote waliohusika.
Huoni madhara ya kuusogeza uchifu ikuluKunya anye kuku akinyaga bata kaharibu mazingira. Kulia alie tetele akilia bundi ni uchuro.
Punguza nongwa mkuu Mtanzania.
Nitajie Chifu Mwanamke kwenye Jamhuri ya Watu wa Tz aliye kwenye vitabu vya Historia. Usijenitajia Mganga wa Jadi Mwanamke kwenye kabila lenu.Hivi watu wengine mlisomeaga shule za wapi?
Katika historia,makabila mbalimbali duniani yalitawaliwa vizuri tu na viongozi wanawake. Mfano wa karibuni ni malikia Elizabeth.
Hapa Tanzania,kule usukumani kwa mfano,wasukuma walifuata matrimonial system. Kwa hiyo,watemi walipatikana kutoka umamani na kuna idadi nzuri tu ya watemi wanawake akiwemo MINZA.
Kwa kifupi sana,wewe unasumbuliwa na mfumo dume tu! Huna hoja yoyote.
Mbowe kabla hajakamatwa alikuwa anazunguka na kuvikwa uchief wa kikabila na sikuona mtu hapa anaongelea habari ya ukabilaAnachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu.
Yaani viongozi wa kiukoo, kikabila Watu hawa wanastahili kuachiwa kabisa nje ya mfumo kama ambavyo imekuwa miaka yote ya uhuru. Kuna nini hadi Rais anawatafuta kwa nguvu zote hizo?
Museveni aliwadekeza Baganda, matokeo yake hadi leo ndani ya Kampala anaonekana ni mpangaji asiyetakiwa. Kule Kasese mwaka 2016 hadi mauaji yalitokea kwa sababu ya kudekezwa. Hatuhitaji tawala za kichifu/kikoo ktk nchi hii.
Naona hukusoma historia ya darasa la 5. Machifu ni viongozi wa kikabila. Kama imetokea mkoa kuwa na chifu mmoja, hilo ni kabila moja. ndo mwanzo wa kuidhalilisha serikali na viongozi wake.Uchifu unahusikaje na ukabila? Mbona kila mkoa una chifu
Mbona Uingereza kuna uchifu?Anachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu.
Yaani viongozi wa kiukoo, kikabila Watu hawa wanastahili kuachiwa kabisa nje ya mfumo kama ambavyo imekuwa miaka yote ya uhuru. Kuna nini hadi Rais anawatafute kwa nguvu zote hizo?
Museveni aliwadekeza Baganda, matokeo yake hadi leo ndani ya Kampala anaonekana ni mpangaji asiyetakiwa. Kule Kasese mwaka 2016 hadi mauaji yalitokea kwa sababu ya kudekezwa. Hatuhitaji tawala za kichifu/kikoo ktk nchi hii.
Foolish! Namibia nchi ya watu milioni 1, nchi ya makabila 8 ndo unalinganisha na TZ. Kama hatuna ajenda za kisiasa tuache kuchezea amani, Leo hii tuzidi kuongozwa na ukoo fulani unaojiita wa kichifu, wengine hata shule hawakwenda!Namibia machifu wa kila kabila wanalipwa na serikali na wanatembelea gari za serikali lakini Namibia ndio nchi yenye amani zaidi ya nchi nyingine Africa. Ni mipango mizuri tu.

Mbona Uingereza hawaibi kura?Mbona Uingereza kuna uchifu?
Una hakika gani kwamba hawaibi kura?Mbona Uingereza hawaibi kura?
Anachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu.
Yaani viongozi wa kiukoo, kikabila Watu hawa wanastahili kuachiwa kabisa nje ya mfumo kama ambavyo imekuwa miaka yote ya uhuru. Kuna nini hadi Rais anawatafute kwa nguvu zote hizo?
Museveni aliwadekeza Baganda, matokeo yake hadi leo ndani ya Kampala anaonekana ni mpangaji asiyetakiwa. Kule Kasese mwaka 2016 hadi mauaji yalitokea kwa sababu ya kudekezwa. Hatuhitaji tawala za kichifu/kikoo ktk nchi hii.
[/QUOT
Mimi natofautina na wewe kwa hoja zifuatazo:-
1.Tukubai tukatae kila kiongozi wa serikali na wa vyama vya upinzani kwa namna moja au nyingine wameshiriki katika kuenzi hizi tamaduni
2.Ni akili isiyoweza kufikiri tu ndio inayoweza kuwaza kuwa eti jambo hili linaweza kuturejesha kwenye utawala wa kichifu na ukabila.
3.Hizi tamaduni za kitawala katika nchi yetu ni sehemu ya jamii,kuna watu hawana dini na wanafuata mifumo hii kama dini zao.
Hofu ya kudekeza haifanyi kabila fulani lipigane na kabila lingine,suala la mapigano ya kikabila tumevuka,tunawaza vita ya kiuchumi katika ngazi ya dunia.
Endelea kucheza mdako tunaendelea kujenga nchi
Ile ni siasa kama nyinginezo, huwa zinaondoka na muda unavyoondoka.Huoni madhara ya kuusogeza uchifu ikulu
Na ninyi mlipewa nini mkakabidhi utu wenu kwa Wazungu?Machifu walopewa shanga wakatoa madini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MAMA ALIANZA VIZURI SIKU 100 ZA KWANZA TUKAMPENDA KWA MOYO WOTE. BAADA YA HAPO NA MPAKA SASA NI KITENDAWILI KILA UCHAO. DISASTROUS. MUNGU TUSAIDIE KESHO YETU HATUIONI TENA.
Na ninyi mlipewa nini mkakabidhi utu wenu kwa Wazungu?