Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Ni hatari sana kuwatumia for political power base. You give them an inch, they will take a mile. Hawa machief ndio waliotuuza kwa wakoloni maana walipewa special privilege's . Watoto walisomeshwa. Hawakulipa kodi. walitoa labour for free. Na worse, walipinga sana uundaji wa Taifa moja la Tanzania. Wengi walitaka chiefdom zao zitambulike kama nchi. Hawa ni kuwaangalia kwa jicho la wasiwasi. waendelee kukaa hivyo hivyo. Hakuna sababu ya kuwapa ruzuku wala madarakaJapo simkubali sana Muigizaji mkuu wa filamu ya utalii ila kwa hili unamuonea. Hao machifu siku zote wapo, kama ishara tu ya tamaduni. Hawana madhara yeyote. Muache mama aendelee na script yake.