Rais Samia sasa unaturudisha kwenye tawala za machifu kweli, au ndo njia ya umaarufu wa kisiasa?

Rais Samia sasa unaturudisha kwenye tawala za machifu kweli, au ndo njia ya umaarufu wa kisiasa?

Japo simkubali sana Muigizaji mkuu wa filamu ya utalii ila kwa hili unamuonea. Hao machifu siku zote wapo, kama ishara tu ya tamaduni. Hawana madhara yeyote. Muache mama aendelee na script yake.
Ni hatari sana kuwatumia for political power base. You give them an inch, they will take a mile. Hawa machief ndio waliotuuza kwa wakoloni maana walipewa special privilege's . Watoto walisomeshwa. Hawakulipa kodi. walitoa labour for free. Na worse, walipinga sana uundaji wa Taifa moja la Tanzania. Wengi walitaka chiefdom zao zitambulike kama nchi. Hawa ni kuwaangalia kwa jicho la wasiwasi. waendelee kukaa hivyo hivyo. Hakuna sababu ya kuwapa ruzuku wala madaraka
 
Foolish! Namibia nchi ya watu milioni 1, nchi ya makabila 8 ndo unalinganisha na TZ. Kama hatuna ajenda za kisiasa tuache kuchezea amani, Leo hii tuzidi kuongozwa na ukoo fulani unaojiita wa kichifu, wengine hata shule hawakwenda!
Namibia ina zaidi ya 2.5m people na makabila mengi kuliko Rwanda na Burundi pamoja.
 
Kila anaeheshimu mila na desturi hujihusisha nazo.Mkataa kwao ni utumwa

E-5pAYhXoAY2IxU.jpg
 
Back
Top Bottom