escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa.
Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Mbagala mkoani Dar es salaam aliyetaka jimbo hilo lipewe hadhi ya Wilaya, Rais Samia amesema hali ya uchumi wa nchi hairuhusu kuwa na Mikoa na Wilaya mpya ila uchumi ukiimarika jimbo hilo litakuwa wilaya hivyo wawe wavumilivu.
My take
» Asante Mama kwa msimamo huu. Maana kuna hadi vijiji vilianza vikao ili vipewe hadhi ya Mkoa na Wilaya