escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
- Thread starter
- #41
Sindano imeingia penyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ipo kwa ajili ya watusikubaliani na wewe kabisa, mkoa ni kuzidisha gharama kwa serekali na si chengine.
Sababu hatuna helaKwa hiyo tunahitaji mikoa mingi zaidi ili watu wengi zaidi waweze kuwa karibu zaidi na huduma muhimu? Kwa nini sasa tusifanye kila wilaya iwe mkoa?!
Hospitali Zina vyeoKwani ukijenga hospital yenye hadhi ya mkoa kwenye eneo ambalo wanataka uwe mkoa shida iko wapi? Si lengo litakuwa pale pale tu kutoa huduma za kijamii au kwenye hospital ya mkoa lazima aishi mkuu wa mkoa humo?
Serikali ipo kwa ajili ya watu
Tunahitaji halmashauri zaidi ya hiyo mikoa ushamba wa mwendazake wa kufanya kijini chake kuwa mkoa ukome.Tunatakiwa tupunguze SIO kuongeza, na tuanzie na wizara