escrow one JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,473 Reaction score 2,868 Dec 3, 2021 Thread starter #41 Sindano imeingia penyewe
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Dec 3, 2021 #42 dos.2020 said: sikubaliani na wewe kabisa, mkoa ni kuzidisha gharama kwa serekali na si chengine. Click to expand... Serikali ipo kwa ajili ya watu
dos.2020 said: sikubaliani na wewe kabisa, mkoa ni kuzidisha gharama kwa serekali na si chengine. Click to expand... Serikali ipo kwa ajili ya watu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 3, 2021 #43 Inapendeza...
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Dec 3, 2021 #44 Yoda said: Kwa hiyo tunahitaji mikoa mingi zaidi ili watu wengi zaidi waweze kuwa karibu zaidi na huduma muhimu? Kwa nini sasa tusifanye kila wilaya iwe mkoa?! Click to expand... Sababu hatuna hela
Yoda said: Kwa hiyo tunahitaji mikoa mingi zaidi ili watu wengi zaidi waweze kuwa karibu zaidi na huduma muhimu? Kwa nini sasa tusifanye kila wilaya iwe mkoa?! Click to expand... Sababu hatuna hela
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Dec 3, 2021 #45 cmp said: Kwani ukijenga hospital yenye hadhi ya mkoa kwenye eneo ambalo wanataka uwe mkoa shida iko wapi? Si lengo litakuwa pale pale tu kutoa huduma za kijamii au kwenye hospital ya mkoa lazima aishi mkuu wa mkoa humo? Click to expand... Hospitali Zina vyeo
cmp said: Kwani ukijenga hospital yenye hadhi ya mkoa kwenye eneo ambalo wanataka uwe mkoa shida iko wapi? Si lengo litakuwa pale pale tu kutoa huduma za kijamii au kwenye hospital ya mkoa lazima aishi mkuu wa mkoa humo? Click to expand... Hospitali Zina vyeo
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Dec 3, 2021 #46 inamankusweke said: Serikali ipo kwa ajili ya watu Click to expand... hapana, serekali za kiafrica zipo kwa ajili ya matumbo yao
inamankusweke said: Serikali ipo kwa ajili ya watu Click to expand... hapana, serekali za kiafrica zipo kwa ajili ya matumbo yao
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Dec 15, 2021 #47 Nkanini said: Tunatakiwa tupunguze SIO kuongeza, na tuanzie na wizara Click to expand... Tunahitaji halmashauri zaidi ya hiyo mikoa ushamba wa mwendazake wa kufanya kijini chake kuwa mkoa ukome.
Nkanini said: Tunatakiwa tupunguze SIO kuongeza, na tuanzie na wizara Click to expand... Tunahitaji halmashauri zaidi ya hiyo mikoa ushamba wa mwendazake wa kufanya kijini chake kuwa mkoa ukome.