Hiyo zawadi ameitoa kupitia mshahara wake, au ni kupitia kodi za watanzania? Na hiyo 80% anayopokea kila mwezi haimtoshi kununulia gari dogo?Kutoa zawadi ni madudu? Kupongezana imekua madudu? Nyie watu mna akili timamu?
Sijajua utaratibu wa marekani upo vipi.lakini kwa hapa kwetu marais wastaafu wanajengewa nyumba hata Nyerere alijengewa kule butiama .kitu ambacho sioni kama kuna ubaya..Mzee Obama alivyostaafu alijitafutia nyumba mwenyewe.
Hivi hiyo milioni 450 mmeipata wapi nyie watu?Leo mama anatoa gari lenye thamani ya Tsh Mil 450 kwa ajili ya mtu mmoja tena mwenye uwezo na hajaomba, lakini wale wazee aliokutana nao jana Mlimani city wanapiga miayo hawana hata kumi kaishia kuwaambia Corona imeshusha uchumi. Asee aliye nacho ataongezewa
Wale level yao ni kula futari tu inatosha, tulikubaliana hii sio awamu ya wanyonge.Leo mama anatoa gari lenye thamani ya Tsh Mil 450 kwa ajili ya mtu mmoja tena mwenye uwezo na hajaomba, lakini wale wazee aliokutana nao jana Mlimani city wanapiga miayo hawana hata kumi kaishia kuwaambia Corona imeshusha uchumi. Asee aliye nacho ataongezewa
Achana nao hao wanahangaika na "petty issues "Juzi Museven Kampa Golikipa wa timu ya taifa gari lenye thaman ya Tsh Million 121 . Onyango mchango wake ni kwenye michezo inakuwaje tuone nongwa Kwa mh. Mwinyi kupewa gari lenye thaman ya milion 450 ? Pesa ambayo Simba wameitumia kumsajili Luis ?
Changamoto za wanyonge zipo toka enzi za mwana wa adam na hazitakaa ziishe.Ameshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?
Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa ccm madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
Sasa Yule mkabila mbona halikuwa hafai zaidi, alikuwa anajiri skm tu.Mama ni mdini hatufai
Tulia wewe mama anawakomesha mataga,Huyu mama ni failure
Utazani mzee nae anapiga mashine tubinti tudogoAmeshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?
Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa ccm madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
Siyo kwamba jamii inachangia kuwaharibu viongozi?Tanzania imebarikiwa maliasili, ardhi na maji ya kutosha tatizo ni kuwa haijawahi kipata rais mwenye vision.
Hivi Mwinyi anakosa milioni 400 ya kununua gari?Inachezewa sana kivipi we jamaa.. Mbona unakuwa na roho ya kimaskini sana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zawadi ya Ml 450 kwa mtu alie simamia ustawi wa taifa letu.. tena ukiangalia hata kwenye baadhi ya sarafu kuna sura yake hiyo tsh ml 450 bado ni ndogo sana Ndugu yangu
Starlet...😂inawezekana ni sehemu ya mgao wake anaostahili kama rais mstaafu kwa kila baada ya miaka mitano hivyo akaamua kumpa benz by the way kwa nafasi yake amepewa gari ya kawaida mlitaka apewe corolla?
Nimwonee wivu Mwinyi? Ha ha ha najifananishaje namimi?Acha wivu yule ni mzee atawezaje kupanda gari kubwa?
Kwahiyo mlitaka ajinunulie halafu ajizawadie mwenyewe? Nini maana ya zawadi? Hivi angezawadiwa cake ya kufikisha miaka 96 pale ukumbini mngepiga kelele?Hivi Mwinyi anakosa milioni 400 ya kununua gari?
Bora yeye alikuwa anawagawia maskini sio huyu anampa tajiri. Alikuwa Rais na bado mtoto wake ni Rais. Inamaana mwanae ameshindwa kumnunulia gari la kutembelea? Bora hiyo pesa angeenda kutoa kwa watoto yatima Unguja au Pemba tungemuelewa. Huu ni zaidi ya upuuzi.Vipi yule mshamba wenu alikuwa akipita barabarani akigawa kodi za wananchi kama pipi huku mkimpongeza?
Mpongezeni na huyu
Kuna namna nyingi ya kumfurahisha rais mtaafu (96) ambaye mtoto wake yaani mtanziania mwenzetu ni rais huko Zanzibar.Juzi Museven Kampa Golikipa wa timu ya taifa gari lenye thaman ya Tsh Million 121 . Onyango mchango wake ni kwenye michezo inakuwaje tuone nongwa Kwa mh. Mwinyi kupewa gari lenye thaman ya milion 450 ? Pesa ambayo Simba wameitumia kumsajili Luis ?