Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Kuna watu wana bahati yaani huyo aliyepewa alikua raisi halafu kwa sasa mwanae ni raisi!! Yaani mwanae alishindwa kumnunulia hilo gari la chini!! Ssh!!!
 
Kuna wapuuzi wanapotosha kila anachofanya mama ,ila ni wachache na kamwe hawataturudisha nyuma .Mama piga kazi
Ishu sio mali ya serikali, ishu ni kwanini jamaa anadanganya umma huu? Nimesikiliza hotuba sijasikia wametaja 450M.
 
Nyinyi watu hamuwezi kuridhika hata mletewe malaika awaongoze si juzi tu apa mlikuwa mana imba mapambio na mihemko kibao? Sasa mnalia lia nini tena
Kwa hiyo hata kama anafanya madudu basi tunatakiwa tu kumsifia kama Mataga vile!!
 
Inasikitisha sana. Kila kitu tunalaumu tu. Hii kwangu ni issue ndogo sana kwetu. Maana hata leo magari yake yote ni ya usalama. hatembelei gari binafsi. Na analindwa na sheria kwa hilo.
Hivi tuna generation ya watu wa aina gani ambao kila kitu wanalalamika?

Nadhani sheria ya mafao ya viongozi wakuu wastaafu inatakiwa kurekebishwa.

Mafao yao ni makubwa mno kulinganisha na uwezo wa nchi yetu na hali ya maisha ya wananchi.

Pia ni ya muda mrefu hayana ukomo. Package wanayopewa kwenye nchi za wenzetu huwa ni ya kipindi fulani, sio bila kikomo kama hapa Tz.

Vijana wana haki ya kulalamika. Wanapokosea ni kutoa lugha za matusi au ubaguzi.
 
Juzi Museven Kampa Golikipa wa timu ya taifa gari lenye thaman ya Tsh Million 121 . Onyango mchango wake ni kwenye michezo inakuwaje tuone nongwa Kwa mh. Mwinyi kupewa gari lenye thaman ya milion 450 ? Pesa ambayo Simba wameitumia kumsajili Luis ?
 
Ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi..as simple as that. Nchi hii imelaaniwa si bure!
 
Bora nanihii yeye alikuwa anawapa Tausi wakafuge🤣🤸
 
Kuna wapuuzi wanapotosha kila anachofanya mama ,ila ni wachache na kamwe hawataturudisha nyuma .Mama piga kazi
Nadhani ni team iliyoandaliwa ili kumzingua mama kisaikolojia. Ila hawataweza
 
Ameshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?

Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa ccm madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
Unajenga shule moja ya msingi safi kabisa..

unachimba visima zaidi ya 50 vya maji safi kabisa Tanzania siyo maskini
 
Hiyo thamani imetoka wapi ? Aliisema wapi?
 
Leo mama anatoa gari lenye thamani ya Tsh Mil 450 kwa ajili ya mtu mmoja tena mwenye uwezo na hajaomba, lakini wale wazee aliokutana nao jana Mlimani city wanapiga miayo hawana hata kumi kaishia kuwaambia Corona imeshusha uchumi. Asee aliye nacho ataongezewa
 
Back
Top Bottom