Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga,amekula vingapi vya nchi hii? Mpaka sasa anatunzwa kwa kodi zetu.Inachezewa sana kivipi we jamaa.. Mbona unakuwa na roho ya kimaskini sana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zawadi ya Ml 450 kwa mtu alie simamia ustawi wa taifa letu.. tena ukiangalia hata kwenye baadhi ya sarafu kuna sura yake hiyo tsh ml 450 bado ni ndogo sana Ndugu yangu
Jinga wewe, alikuwa anawagawia hela zao ziwapunguzie matatizo yao.Vipi yule mshamba wenu alikuwa akipita barabarani akigawa kodi za wananchi kama pipi huku mkimpongeza?
Mpongezeni na huyu
Hizo gari ni pesa tupuNadhani haijanuniliwa hiyo gari nikiiangalia naona kama zile zilizotumika wakati wa MKUTAMO WA WAKUU WA NCHI ZA SADC, tusipende jiringanisha kwa kila kitu watanzania hata pua tu tumezidiana ukubwa basi na mwenye pua kubwa narpe anatumalizia hewa.
Tatizo ni Benz au kupewa zawadi mzee? Sioni tatizo, ni jukumu la serikali kumtunza mzee kalitumikia taifa sasa shida iko wapi au kuweka public? Hatuwezi kusema tuna uchungu na nchi wakati kuna sarakasi nyingi zaidi ya hiyo lakini tumeliona ilo tu as major. Kuna nyumba watu wamepena Masaki na Oysterbay kama njuguPengine uko right, lakini hii ni Tanzania ambapo 'benzi kutolewa zawadi' ni excess, kama unafahamu!
Unaona sasa! Hata hilo la nyumba Oysterbay lingetangazwa lingevutia comments kama hizi. Mambo mengine hayafai kuwekwa wazi hata kama ni sawa. Wakati mwingine hekima ni kutomweleza mkeo kuwa umemzawadia mama yako pete ya dhahabu, hasa ikiwa yeye hana!Tatizo ni Benz au kupewa zawadi mzee?sioni tatizo nijukumu la serikali kumtunza mzee kalitumikia taifa sasa shida iko wapi au kuweka public? Hatuwezi kusema tunauchungu na nchi wakati kuna sarakasi nyingi zaidi ya iyo lakini tumeliona ilo tu as major. Kuna nyumba watu wamepena masaki na oysterbay kama njugu
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Mama kaamua kuwa muwazi hata kama utawauma lakini ndio ukweli kuliko sarakasi zilizotokea za kuficha mambo.Unaona sasa! Hata hilo la nyumba Oysterbay lingetangazwa lingevutia comments kama hizi. Mambo mengine hayafai kuwekwa wazi hata kama ni sawa. Wakati mwingine hekima ni kutomweleza mkeo kuwa umemzawadia mama yako pete ya dhahabu, hasa ikiwa yeye hana!
Kama hizo Gari hazina kazi ni bora ziuzwe fedha zake zitumike kuboresha maisha ya wananchi kama kujenga vituo vya afya kulipo kuyagawa bureHivi mnajua wale wageni wa SADC zile gari zote ziliagizwa mpya 0km na kuwachukua airport na kuwarudisha baada ya hapo zililala tu.inawezekana kampa moja kati ya zile.
Sio lazima tuige mifuko ya wastaafu wao. Ndio maana hata mishahara hailinganiActually nimekosea.
Utanisamehe kwa usumbufu.
US maraisi wastaafu wanalipwa mshahara sawa na mawaziri, wanapewa ulinzi wa serikali, wanatibiwa ktk hospitali za jeshi, na wanapewa watumishi wa ofisi zao wanaolipwa na serikali.
Maraisi wastaafu wa US hawajengewi majumba ya kifahari miaka 20+ tangu watoke madarakani.
Unakumbuka hizo pesa aligawa kwa watu wa aina gani!?Vipi yule mshamba wenu alikuwa akipita barabarani akigawa kodi za wananchi kama pipi huku mkimpongeza?
Mpongezeni na huyu
Magufuli utampenda tu na utamkumbuka kwa mazuri, ni swala la muda tu.Kama n kweli basi tuna "RAHISI" na siyo RAIS
mzee wa Miaka 90+ unampa gari la mil 450 s alisema Corona imeyumbisha uchumi Sasa hii 450 mil kaitoa wapi
Hyo 450 M inalipa malimbikizo ya watu wangapi wanayodai
Mwinyi anamshahara au marupurupu Mengi Bado ana watoto wenye mamlaka huko visiwan
POLE MAMA TANZANIA SIKUMPENDA MAGUFULI LAKIN HUYU DAAAH
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo mama anatoa gari lenye thamani ya Tsh Mil 450 kwa ajili ya mtu mmoja tena mwenye uwezo na hajaomba, lakini wale wazee aliokutana nao jana Mlimani city wanapiga miayo hawana hata kumi kaishia kuwaambia Corona imeshusha uchumi. Asee aliye nacho ataongezewa
Non sense, nimekupuuza.Usikereke kaka... ipo kisheria na kumbuka ndio hazina tulizobaki nazo za viongozi tulionao , Mstaafu Mwinyi anauwezo hata yeye angenunua kwa pesa yake ila kwa Heshima na kutambua mchango wake ni vizuri akinunuliwa .. Ni vzr kumuenzi mzee wetu maana hawa wazee soon watabaki Historia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kuna mabunge yasio na vyama yanakula tu hela, ila watumishi uchumi umeshuka....
Huyu atataka bombardier kabisaah. [emoji23][emoji23][emoji23]Kikwete nae akizindua kitabu atapewa nn?