Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanaona gharama kujenga transimission line ndefu kwa ajili ya kusafirisha MW chache.. hivyo wanapiga shortcut kwa kununua hizo MW chache Kenya. Maana kenya na kaskazini ni karibu

Tuache uongo sasa wilaya ya Same ina umbali gani!
 
Aisee hapiti, Kwa Moto Sana sana
Hapiti kivipi?

Miminnafanya kazi chini kabisa Halmashauri. Mtu ambaye moakansasa hujui idadi ya wapiga kura unategemea asipite kwa kura zipi na zinazohesabiwa na nani?
 


Nimependa analysis yako
Umeongea vizuri na Kwa data

I wish vijana wengi wa ccm wangekuwa wanajibu hoja kama hivi
 
Bwawa la Nyumba ya Mungu lililopo Kilimanjaro/Manyara kwa upekee linao uwezo wa kuzalisha umeme kutoshea mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara. Kwanini hilo pekee lisitumike kama issue ni umbali mrefu wa kujenga mkondo wa umeme kutoka Bwawa la Nyerere kuleta umemd Kaskazini?
 
Nimependa analysis yako
Umeongea vizuri na Kwa data

I wish vijana wengi wa ccm wangekuwa wanajibu hoja kama hivi
Nina uhakika huyo muandishi sio kijana wa CCM, na kama ni kijana wa CCM basi tegemea haya kuja kumtokea:
1. Kubadilishwa akili na kuwa mjinga (chawa) akipewa kacheo tu.
2. CCM watamuangamiza kwa namna zozote hizo.

Kwanini nimesema hayo?
CCM haipendi na wala haitaki kuwa na watu wenye akili kubwa, upeo mpana, wakosoaji au wenye kusema ukweli.
 
Dah tumekaa miezi 2 hamna maji mpk mkurugenzi wa idara ya maji katishiwa na watu kuandamana kwa sababu ya ujio wa raisi ndo akaachia maji mpk saiv najiuliza je asingekuja raisi maji yangeachiwa ? Wanasingizi wanajenga miradi ya mabomba cha ajabu miezi yote hiyo hman sehemu iliyochimbwa
 
Ninaomba kumuuliza Rais swali:

Iwapo Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini, utafanyaje umeme huo usiende mikoa ya Kanda zingine nchini,ukizingatia kuwa mikoa ya kaskazini imeunganishwa kwenye Grid ya Taifa pamoja na mikoa ya Kanda zingine!!
 
Sina chuki na ccm wala madam perzdaa, ila wataalam wa uchumi na wataalam wa mambo ya umeme na wabunge sijui wanajiskiaje popote walipo.

Hivi kama dar to Arusha kumeshndkana kusambaziwa umem wa kutosha hiv huo umeme utafika tabora, katav, kigoma, mwanza na kagera je kote huko wataninia umeme kutoka nje?.

Sku tukizinguana na kenya kaskazin hakutakuwa gizani?.

Mwisho niseme nguo ya kuazma haistiri matako.
 
Thread 'Serikali ya UFAFANUZI, yafafanua kuhusu Tanzania kununua umeme Ethiopia' Serikali ya UFAFANUZI, yafafanua kuhusu Tanzania kununua umeme Ethiopia
 
Thread 'Serikali ya UFAFANUZI, yafafanua kuhusu Tanzania kununua umeme Ethiopia' Serikali ya UFAFANUZI, yafafanua kuhusu Tanzania kununua umeme Ethiopia
 
Great thinker! Hongera Sana sana
 
Wangefanya mpango wa kuzalisha umeme kupitia Makaa ya mawe ya Mbeya na Ruvuma tusiamini sana katika vitu vilivyo tayari tuzalishe umeme wetu kwa gharama nafuu kuliko huo wa kununua Nje ya Nchi.
Makaa ya Mawe wamepewa wachina kuwekeza kwa Dollars 200.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…