Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Wanasiasa wa tanzania ni wa kuchoma moto kabisaKuna kiongozi aliwahi kusema 2025 tutakuwa na umeme wa kutosha kutumia nchi nzima na tutauza hadi nje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasiasa wa tanzania ni wa kuchoma moto kabisaKuna kiongozi aliwahi kusema 2025 tutakuwa na umeme wa kutosha kutumia nchi nzima na tutauza hadi nje.
Kuna haja ya kuwatafakari tuliowapa madaraka. Mpaka sasa Tz tuna umeme wa ziada tunafikiria kuwauzia majirani.
Sasa tunasaini mkataba kununua umeme. Hakikà Trump ni rais sahihi wa USA
Kwanini ununue umeme kutoka nje, wakati, tayari tunazalisha wa kutosha pale bwawa LA nyerere, au, ni porojo tu!Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
View attachment 3264483
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
View attachment 3264591
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Chanzo: Millard Ayo
Kitu ambacho Samia angewaambia watu wa Kaskazini waone ni point ni suala la kujenga barabara na sio hizi hadithi za kuudhi.Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
View attachment 3264483
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
View attachment 3264591
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Chanzo: Millard Ayo
Kama issue ni miundombinu, kwanini Hangaya anadhani kununua umeme kutoka nje ndiyo solution ya umeme kukatikakatika? Huo umeme wa nje utasafirishwa kwa Dreamliner mpaka KIA na kisha kusambazwa kwa bodaboda?Nimependa analysis yako
Umeongea vizuri na Kwa data
I wish vijana wengi wa ccm wangekuwa wanajibu hoja kama hivi
Daah wangewapa hata Chuo chochote wangefanya kitu kuliko kugawa au kuyauza maana makaa ya mawe yanaweza kuzalisha mafuta ya Diesel pis kwa gharama ndogo sana sema technology hiyo wa karibu wanayo Wachina na SA.Makaa ya Mawe wamepewa wachina kuwekeza kwa Dollars 200.
Kwani kuna mkoa au kanda yenye umeme wa uhakika?Sio tuu Nje Bali ni Ethiopia,Sasa sijajua kama Ndio masharti ya wakopeshaji hela au vipi
View attachment 3264601View attachment 3264602
Umeme kutoka ethiopia kuja Tz utasafirishwa buure kabisa kupitia satellite ya Elon musk. Kuupokea huo umeme mtatumia dish la azamKama issue ni miundombinu, kwanini Hangaya anadhani kununua umeme kutoka nje ndiyo solution ya umeme kukatikakatika? Huo umeme wa nje utasafirishwa kwa Dreamliner mpaka KIA na kisha kusambazwa kwa bodaboda?
Sisi tunaotumia wa Zambia ni uhakikaKwani kuna mkoa au kanda yenye umeme wa uhakika?
Nilikuwa morogoro mwezi wote wa pili na hakuna siku umeme haukukatika. Hata sasa 8.52pm nimeambiwa umekatika.
Nashauri morogoro wanunuliwe umeme kutoka zanzibar maana umeme wao haukatikikatiki.
Wameshindwa kujenga vyoo mashuleni, umeme ndiyo wataweza?Miaka zaidi ya 60 madarakani lakini wameshindwa kutatua tatizo la umeme!
Shameful.
zingatia maelezo gentleman 🐒Mambo kama hayo akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah pia wanabubunjikwa machozi?
Sasa ukweli wa umeme wa Gas unaenda kukaa wazi. Kwanini tununue umeme nje wakati tuna umeme wa maji, na Gas?Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
View attachment 3264483
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
View attachment 3264591
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Chanzo: Millard Ayo
Koh koh koh Magu is coughing kwa his grave. Ile Excess ya bwawa jipya iko wapi.Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
View attachment 3264483
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
View attachment 3264591
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Chanzo: Millard Ayo
Ww hakika ni zero brain....kwaiyo hiyo back up unayoisemea itakua special kwa ukanda wa kaskazini tu, kanda ya kaskazini pekee ndio Tanzania?Kuwa na Grid Ni salama zaidi usisahau Pia Energy ni National security matters Muunganiko na Majirani Ni kitu Kizuri sana kwasbabu kitakupa wide range ya Choice incase pakitokea Blackout ila Pia Kuhakikisha Nchi Iko Connected yote Na Grid ni Swala zuri zaidi na Majirani iwe kama Back Up kwasababu leo tupo salama Kesho ikitokea Vita na Hao Majirani wanaokuuzia Umeme tegemea Kukatiwa Umeme Ili uwe Gizani
Mkuu hivi unakielewa ulichokiandika kweli?...kwamba 33KV gharama ni nn?, ama hujamaanisha 33KV aise?Tukisema chadema huwa hawana akili ndiyo mtambue, gharama ya kutengeneza njia kuu ya umeme ya kv 33, toka ilipo kwa sasa mpaka uifikishe mombo ni gharama kubwa mno, kwa kutatua matatizo ya dharura ni heri kuuchukuwa kutoka Kenya, kupeana umeme kibiashara ni jambo la kawaida.(Amerika inaumeme mwingi sana, lakini kanada imeipa umeme amerika wa kibiashara wa makazi 15,000, almost mpaka NY inatumia umeme wa kanada.