Nunua Toka UK
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 265
- 540
Naomba kueleweshwa, huo umeme tutakao nunua kutoka Ethiopia.Utapitia gridi ya Kenya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja, kuna tatizo mahali, ila pia badala ya kulaumu, tumpongeze Samia kuwa mkweli kuonyesha tuna shida mahali bila kusema hiyo shida ilipo!.''Something is terribly wrong''
Tumeambiwa umeme wa JNHP unatosheleza nchi na kuuza nje
Tukaambiwa hata mvua isponyesha miaka 3 hatuna shida ya umeme
Huu mkanganyiko una mambo mawili kwa Wananchi. Ima wakae kimya kwasababu hawaelewi, na wale wanaoelewa wakae kimya kwasababu ya kuchanganyika. Kuna tatizo kubwa sana!
JokaKuu Pascal Mayalla
Kuna ‘petition’ imeandaliwa ikipendekeza Ibrahim Traore awe Rais wa Africa. Siku za karibuni itafika Tz kwa kutiwa saini. Tutarajie SSH ataunga mkono hii hojaHivi mfano sisi wa Tanzania tukamuomba Elon Musk awe raisi wa taifa letu kwa mkabata maalumu wa miaka 10 wenye kufungu cha kumtoa kama atakiuka,hivi inashindikana?
Atupeleke mchaka mchaka wa miaka 10 akituachia tuwe hatua tatu nyuma ya china.
😂😂 hajiiiHapa kapigwa kwenye mshono hawezi sogea katika huu uzi.
Kuna haja gani ya kufanya uchaguzi (huru na wa haki au vinginevyo) ikiwa una uhakika wa atakayeshinda kama unavyodai? Kwa kuwaita wasaidizi wa Rais ‘vilaza’, huoni unaidhalilisha ofisi ya Rais na Rais unaedai kumsaidia?Naunga mkono hoja, kuna tatizo mahali, ila pia badala ya kulaumu, tumpongeze Samia kuwa mkweli kuonyesha tuna shida mahali bila kusema hiyo shida ilipo!.
Angekuwa mwingine, tungenunua kimya kimya bila kusema popote!. Tumshukuru Samia for genuinity, hapa sasa ndio IJ ya umeme tuingie kazini kuyafukunyua haya madudu ya Tanesco.
Hii ya mkuu wa nchi kukubali kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi, lazima tusaidiwe is a good thing, its about
being genuine!. Niliwahi kushauri Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie? hata Tanesco nadhani hatuwezi, tukubali kusaidiwa.
Hata hili la kufanya minimum reforms kwenye katiba ili tufanye uchaguzi huru na wa haki, nadhani wale vilaza wake wa sheria, wameshindwa kumshauri vizuri, hivyo watu tumejitolea kumsaidia, lazima tufanye minimum reforms kwenye katiba ili tuweze kufanya uchaguzi wa haki, ila kwenye ushindi ni Samia Pekee, she is the one and only, hili nimemhakikishia ni yeye tuu Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
P
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Kama tuna umeme wa kutosha kwanini tununue? Au ndiyo mambo ya kudanganywa kama watoto wadogo na hii serikali.Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Chawa Pro Max umeshtuka eeh!Japo napendaga kuifagilia serikali , kwa hili naona kama wanajikoroga !
Kupitia bwawa la Nyerere tunaambiwa umeme upo hadi wa kuuza nje, halafu hapa tunaambiwa tutanunua umeme kwa ajili ya Kanda ya kaskazini!
Kwanini huo umeme wa kuuza nje usiletwe Kanda ya kaskazini?!
Sababu umbali, cha kujiuliza umeme siyo mawe useme ni bora ununue mpakani mwa Kenya kuliko kuyafata mawe Rufiji kuyapelela Same, Kwanii umeme wasinunue kutoka Moshi kuliko kwenda kununua EthiopiaJapo napendaga kuifagilia serikali , kwa hili naona kama wanajikoroga !
Kupitia bwawa la Nyerere tunaambiwa umeme upo hadi wa kuuza nje, halafu hapa tunaambiwa tutanunua umeme kwa ajili ya Kanda ya kaskazini!
Kwanini huo umeme wa kuuza nje usiletwe Kanda ya kaskazini?!
Wanaona gharama kujenga transimission line ndefu kwa ajili ya kusafirisha MW chache.. hivyo wanapiga shortcut kwa kununua hizo MW chache Kenya. Maana kenya na kaskazini ni karibu
Wanaona gharama kujenga transimission line ndefu kwa ajili ya kusafirisha MW chache.. hivyo wanapiga shortcut kwa kununua hizo MW chache Kenya. Maana kenya na kaskazini ni karibu
Tukisema chadema huwa hawana akili ndiyo mtambue, gharama ya kutengeneza njia kuu ya umeme ya kv 33, toka ilipo kwa sasa mpaka uifikishe mombo ni gharama kubwa mno, kwa kutatua matatizo ya dharura ni heri kuuchukuwa kutoka Kenya, kupeana umeme kibiashara ni jambo la kawaida.(Amerika inaumeme mwingi sana, lakini kanada imeipa umeme amerika wa kibiashara wa makazi 15,000, almost mpaka NY inatumia umeme wa kanada.
Huu umeme unazalishwa Ethiopia, Kenya alinunua huko na ndio na sisi tunataka kuunganishwa kupitia Kenya. Bei yake ni rahisi ikilinganishwa na bei zetu za umeme.
Kwani bwawa la Nyerere lote limeanza uzalishaji at once? Nusu tuu ya mashine zao ni bwawa Zima la Nyerere.
So wataanza na hizo,bwawa Lina uwezo wa Kuzalisha zaidi ya megawatt 5,000