Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 422
- 489
Wee ! Koma ! Tangu lini mimi nikawa chawa ?!Chawa Pro Max umeshtuka eeh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee ! Koma ! Tangu lini mimi nikawa chawa ?!Chawa Pro Max umeshtuka eeh!
Naomba kujua climate ya Ethiopia na tz wap kuna mvua ya kutosha?.Wezi wanataka kuiba tu. Eti umeme unatoka Ethiopia . Ni bwawa sasa umeme wetu wa bwawa vipi? Yaani umeme wa Ethiopia unapita nchi ngapi? Wanasingizia umbali. Kusini ni mbali kuliko Ethiopia!
Mkuu acha waendelee kuisema chadema tuu maana hawajui kama wapinzani hatari kuliko chadema wako ccm na serikalini humohumo.Kwa stlye hii kila mtu mtamuona Hana akili na sio chadema Tu
Shida yenu huwa mnaongea Kwa mihemuko Sana mpaka mnajisahau
Mara zote mnasema umeme ni mwingi mpaka mnataka kuuza nje
Hamna siku mmewahi kusema umeme ni mwingi yes but not Kwa zone ya kaskazini
Au mnaposema inchi mzima shida ya umeme imeisha, kule kaskazini sio Tanzania?
That's why watu wanahisi mnawaibia
Yaani mkuu kwa zama hiz wangeacha hiyo michezo ya miaka 1710s ya ufusad au dalili zake.Sema kama kuna kitu nawakubali ni timing za kutoa hizi taarifa, kupiga matukio. Hiki kipindi story kubwa itakuwa ni game ya Simba na Yanga, na unaweza kutwa ilihailishwa kitaalamu tu.
Waache kuchezea hela kwenye mambo yayo ya muhimu, wapeleke sehemu husika mambo yatakaa sawa tu. Hakuna nchi imewahi kujengwa kwa uchawa.
Fuatilia mada mwanzo mwisho. Bila kuhemuka.
Halafu elewa kuwa kuna hoja za kidhahania zaidi.
Swali langu hujajibu.
Naomba kujua climate ya Ethiopia na tz wap kuna mvua ya kutosha?.
Hivi humu kama kuna wataalamu wa haya mambo wanaweza kutupa abc's angalau tupate mwanga.
Au kama ndo hvihiv,nafikiri kati ya viongoz/serikali na wananch kuna kundi mojawapo linatatzo rohoni, moyon au ubongo wa mbele juu ya maamuzi kama hayo.
Au tuseme tumevurugwa tugavuriguka sio bure.
Mkuu nmeuliza hilo baada ya kusoma maon ya mdau aliyesema kwamba kwamba nivema kununua huo umeme mkushi, kwamb ikiwa umeme wa JNHEP ukizngua tutakuwa na mbadala.Nani kasema tatizo ni mvua. Tumesha sema hapa ni biashara za watu.
Wewe unaona ni Sawa kununua umeme nje?
Why hawakusema wakati wote?
Maana ya tuna umeme mwingi mpaka tunataka kuuza nje ni nini?
Mara watauza umeme. Mara watajitosheleza baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika. Sijui kama hawa wanajua wanachofanya.Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Ila hili la kutokuwepo kwa mwendelezo wa mikakati ya kimaendeleo litatufanya tuendelee kubaki pale pale,maana kila utawala unakuja na yake
Mfano kwenye elimu hakuna miendelezo,kila utawala unakuja na utaratibu wake
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Uoongoooo na kambaa za kampeni. Mara mgao wa umeme utakuwa historia kumbe wanamaanisha utaweka historia ya kutoisha na mazwazwa wataendelea kupigwa changa la mato.Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Bado unawaamini wezi hawa?! Mradi wenyewe hata ukikamilika ujue ni bomu. Umehujumiwa na hawa wahujumu wasio na maana wala akiliTunapelekwa mzobemzobe tu.
Tulipojenga Bwawa la Nyerere mahesabu yetu yalikuwa ni kuzalisha umeme tusiutumie ili tununue wa nje?
Umefafanua vizuri sana, japo bado inafikirisha mno!Wakuu Mama ni kama amepewa taarifa Sio wame mislead Sijapenda kabisa, Kwasasa Total Capacity ya Uzalishaji wa Umeme Countywide ni 3040MW against matumizi ambayo hayafiki ata 2500MW kitu ambacho tunaweza Kusema kwa Sasa tuna Surplus
Issue ya Kukatika Kwa umeme sidhani kama Ni scarcity isipokuwa Miundo Mbinu ya Usambazaji na Usafirishaji ndio sio rafiki Ministry of Energy ime take ilo onboard na Kuna Miradi ya Usafirishaji Inafanyika Kuongeza Expansion ya Grid mfano wanajenga Mradi Wa 400KV kutoka Chalinze mpaka dodoma Ili umeme unaotoka Bwawa la Mwalimu Nyerere uwe distributed Vyema.
Mwezi uliopita walifanikiwa Kuunganisha Line za Msongo wa 400KV kutoka isenye Kenya Mpaka Singida Via Arusha Na Kujenga Kituo Kikubwa cha Kupooza umeme Substation Arusha Namuguru (400KV) Kiasi kwamba Muunganiko Huo utasaidia Cross-border trading ya Umeme kati yetu sisi Kenya kupitia (Ketraco) na Ethiopia ambaye Ethiopia ndio giant kwenye Ukanda Huu Muunganiko huo Uko guided na Kitu kinaitwa Eastern African power pool Power(EAPP) chenye wanachama Mataifa 13 to date
Ivo issue ya Kusema sisi tununue umeme hakuna sababu kabisa ya msingi ya Kufanya Ivo unless tupate scarcity kitu ambacho kwa sasa hatuna ujenzi wa Line ya msongo 400Kv chalinze dodoma utasaidia Vituo Vinne Kuwa interconnected vya 400Kv ambacho ni Chalinze, Zuzu pamoja Kituo kikubwa cha Singida na Namguru Arusha Ivo izo infrastructure zikishakuwa Constructed tutakuwa na Usafirishaji mzuri na Kaskazini itaenda Kuwa Stable upande wa Nishati
Mheshimiwa Naibu waziri Mkuu ni zaidi ya Mara Moja Tumesikia Ukisema Kuwa Kwa sasa nchi ina Kiwango cha Ziada(Surplus) upande wa uzalishaji ila tu Changamoto Ni Miundo Mbinu ya Usafirishaji na Usambazaji ambalo ni swala wote tunaelewa kuwa Linarekebishwa kwa Muda na ni swala Progressive hii Policy ya kusema tununue Umeme Kenya au Ethiopia sana sana Ethiopia ila Tupitishie kenya Naona Haijakaa Vizuri kabisa
Wakenya kwa sasa tumewapita Upande wa Capacity ya Grid zetu.