Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani sisi ndio tunawauzia huko nje halafu huko nje wanatuuzia sisi sio
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nchi ya ajabu sana Mara tuna ziada ya umeme Hadi wa kuuza nje,Mara tutanunua kutoka nje tushike lipi? Ccm must go
Tukisema chadema huwa hawana akili ndiyo mtambue, gharama ya kutengeneza njia kuu ya umeme ya kv 33, toka ilipo kwa sasa mpaka uifikishe mombo ni gharama kubwa mno, kwa kutatua matatizo ya dharura ni heri kuuchukuwa kutoka Kenya, kupeana umeme kibiashara ni jambo la kawaida.(Amerika inaumeme mwingi sana, lakini kanada imeipa umeme amerika wa kibiashara wa makazi 15,000, almost mpaka NY inatumia umeme wa kanada.
 
Huu umeme unazalishwa Ethiopia, Kenya alinunua huko na ndio na sisi tunataka kuunganishwa kupitia Kenya. Bei yake ni rahisi ikilinganishwa na bei zetu za umeme.
 
Wanaona gharama kujenga transimission line ndefu kwa ajili ya kusafirisha MW chache.. hivyo wanapiga shortcut kwa kununua hizo MW chache Kenya. Maana kenya na kaskazini ni karibu
Mwenye umeme ni Ethiopia, Tz ni mnunuzi kama ilivyo Kenya.
 
Hivi mfano sisi wa Tanzania tukamuomba Elon Musk awe raisi wa taifa letu kwa mkabata maalumu wa miaka 10 wenye kufungu cha kumtoa kama atakiuka,hivi inashindikana?

Atupeleke mchaka mchaka wa miaka 10 akituachia tuwe hatua tatu nyuma ya china.
Akiondoka baada ya miaka 10 tunarudi pale pale niamini.
 
Wangefanya mpango wa kuzalisha umeme kupitia Makaa ya mawe ya Mbeya na Ruvuma tusiamini sana katika vitu vilivyo tayari tuzalishe umeme wetu kwa gharama nafuu kuliko huo wa kununua Nje ya Nchi.
 
Wanaona gharama kujenga transimission line ndefu kwa ajili ya kusafirisha MW chache.. hivyo wanapiga shortcut kwa kununua hizo MW chache Kenya. Maana kenya na kaskazini ni karibu
Kwani wasiboreshe Bwawa la Nyumba ya Mungu, hapo Same kwa hizo pesa?
 
Shida sio kwamba hao akina Elon Musk hawapo ila style yao ya utendaji wa kazi ni kinyume na style ya CCM. Vinginevyo serikali itaanguka maana mwendo tunaoenda nao sasa ni "funika kombe mwanaharamu apite" ilihali wenzetu wanataka uwajibikaji by 100% kama kazi huwezi upishe wengine sio ubakizwe eti sababu baba yako alikipigania Chama ilihali unaharibu kila nafasi unayopewa.
 
Aaah ccm ni janga kwenye hili taifa, ila watanganyika ni janga zaidi.
 
Duuuu! Nchi inaongozwa na wajinga wajinga. Unaingia kwenye biashara ya kununua umeme nje ya nchi huku wewe nchini kwako una kila aina ya nishati inayoweza kuzalisha umeme. Unajenga bwawa kubwa la umeme ambalo umewaambia wananchi kuwa likikamilika utaweza kuuza umeme nje ya nchi. Unaingia kununua umeme kutoka nchi Jirani ambayo pia inashida ya umeme halafu unawaambia wananchi umeme utakuwepo masaa 24. Kweli? Huyu kiongozi ana akili kweli? watanzania Dunia itawacheka mkimchagua huyu.
 
Tutaisoma namba,mbele kwa mbele,mpaka nchi ielemewe na mizigo ya ufisadi mara umeme upo wa kutosha na kuuza nje ya nchi,mara tutauza umeme mpaka afrika kusini,mara tutanunua umeme nchi jirani .sijui tukoje sisi wa tz.viongozi tunao kweli.??????au business as usually
 
Huyo Bibi ni changamoto. Tuwaombee kina Mchengerwa na Wazir Salum wasipige sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…