Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nini hiki sasa umeandika???

Tunajua biasharabya umeme ni biashara ya wahuni, hawawezi kukubali nchi za Afrika zijitoe kwenye minyororo ya tenda zaomza umeme za kihuni.

Hata ujenzi wa hayo mabwawa huwa ni vita kubwa kwa kisingizio cha mazingira.

Na sasa tuna Rais hewala eeee, bora kumekucha. Ndio basi tena
 
Kavunjeni Sasa mkataba maana huo mradi ulianza 2016
 


Na bado mkajenga bwawa kubwa Afrika Mashariki na kati lenye uwezo mkubwa sana.

Au huo umeme kutoka bwawa hilo ndiyo u unapiga U-turn kurudi kuja kuuzwa na tunanunua sisi wenyewe?.
 
Zalisheni umeme wa gesi ya Lindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…