Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Japo napendaga kuifagilia serikali , kwa hili naona kama wanajikoroga !
Kupitia bwawa la Nyerere tunaambiwa umeme upo hadi wa kuuza nje, halafu hapa tunaambiwa tutanunua umeme kwa ajili ya Kanda ya kaskazini!
Kwanini huo umeme wa kuuza nje usiletwe Kanda ya kaskazini?!
 
Kuna umbali gani kutoka Tanzania mpaka Ethiopia kwenye bwawa lao la umeme?
Kuna umbali gani kutoka Kilimanjaro mpaka Rufiji??
Kwanza mto Pangani uliopo huko huko Kaskazini unazalisha zaidi ya MW 100. Kwa matumizi yetu ya taa na TV unatoshea sehemu kubwa ya mikoa ya kaskazini.
 
 

Attachments

  • IMG_2831.jpeg
    824.6 KB · Views: 1
Daah kweli anaupinga mwili
 
Mimi sijaelewa Samia amesema nini?
Anayeweza kunielewesha tafadhali
 
Duu! Kununua umeme nje ya nchi tena? Si tuliambiwa umeme wa kule Bwawa la Mwl. Nyerere ni mwingi tutauza hadi nje ya nchi?
 
Waislamu hawana akili yoyote ya uongozi na mwanamke hana akili ya uongozi ...kwa hiyo anataka timsifu kwa kununua umeme nje ya nchi wakati ndani ya nchi umeme upo wa kutosha ?..kuna kitu mafisadi wa umeme ndiyo walio wekeza kwenye hizo nchi zinazo taka kutuuzia ...wakina singasinga wanausika mambo ya ESCROW yana rudi kwa mlango wa jirani
 
Wafikirie mbali
Wanaona gharama kujenga transimission line ndefu kwa ajili ya kusafirisha MW chache.. hivyo wanapiga shortcut kwa kununua hizo MW chache Kenya. Maana kenya na kaskazini ni karibu
ba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…