Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Biashara si tulikubaliana ni kuuza na kununua 😂
 

Attachments

  • IMG_1339.jpeg
    266.4 KB · Views: 1
  • IMG_1337.jpeg
    242.6 KB · Views: 1
Sio tuu Nje Bali ni Ethiopia,Sasa sijajua kama Ndio masharti ya wakopeshaji hela au vipi
View attachment 3264601View attachment 3264602
Ku sababu gani ya Kufanya Ivo ile hali kwenye Grid tuna Surplus, Hio issue ya Voltage fluctuations kwanini isiwe handled kwa Kujenga Line za Msongo wa 400kV ku connect izi kanda? Kama Arusha na Singida zina Ungana kwa Line ya 400Kv na Bwawa la mwalimu nyerere pia Wameanza ujenzi wa line kutoka Chalinze mpaka dodoma kwanini dodoma na Singida zisiungwe ili Umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere ufike Vizuri ukanda wa Arusha?
 
Hata sisi pamoja na hayo tutawauzia Zambia very soon na mikataba ilishatiwa Saini kinachosubiriqa ni mradi ukamilike.

Haya ni masharti ya wanaofadhili grid interconnectivity
Hakuna mashariti kama hayo mfano Mradi wa Kenya to Tz Interconnection asilimia Kubwa umekuwa funded na African Bank kwasababu izi mambo za Regional Interconnection kupitia Southern african Power Pool na Eastern Africa Power pool ni Sera za Hao Donor, Ila Hawakulazimishi ununue Utanunua tu pale uwapo na scarcity
 
Labda Elon Musk naye atakuwa mwendazake mithili ya chattle mkuu,
 
Hiyo line ya kv 400 inayounga na Kenya si ndio tayari imejengwa?
 
Ukisema hawakulazimoshi iwaje tunumue umeme wakati tayari line kubwa imejengwa na pia umeme upo?
 
Huu umeme unazalishwa Ethiopia, Kenya alinunua huko na ndio na sisi tunataka kuunganishwa kupitia Kenya. Bei yake ni rahisi ikilinganishwa na bei zetu za umeme.
Kudadeki! Unazidi kunipa mashaka. Ina maana Ethiopia wanazalisha umeme kupitia maji bei ni ndogo, sisi tunazalisha kupitia maji bei ni kubwa!

Yote sawa. Je, wakinunua kwa bei ndogo, ndio kusema watauza kwa bei ndogo? Watanzania tunajuana!
 
Kuna kiongozi aliwahi kusema 2025 tutakuwa na umeme wa kutosha kutumia nchi nzima na tutauza hadi nje.
Leo Eti Mikoa Ya Kaskazini Watapewa Kutoka Nje Ya Nchi
Tunaibiwa Tunaona Basi Bwawa Lifukiwe
 
Mara tuna umeme mpaka wa kuuza nje sasa Raisi WATu wazuri nchi na serikali hiyo hiyo inasema watanunua umeme🤦🏾‍♂️! Hivi tumekuwa wajinga kiasi gani?

Kuna mawili hapa inawezekana hatuna umeme wa kutosha au mikataba ina chongwa ili wizi na ufisadi ufanyike kwa kusingizia umeme
 

Attachments

  • 67afa1a9-b879-477e-babe-f9925324bb4a.jpeg
    87.5 KB · Views: 1
 
Tuendelee na michongo mingne kama mageuzi yametushnda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…