Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na Desturi zetu"
Aidha, amesema Wizara ya Mambo na Nje na Wizara ya Utalii zinaendelea na majadiliano ya urejeshwaji wa Mafuvu ya Machifu yaliyochukuliwa wakati wa ukoloni ili yatumike kwa Utalii na kuelimisha Jamii
View attachment 2091744
Chifu Mkuu wa Kabila la Kichaga Chifu Mareale akimkabidhi Ngao na Mshale Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, kama ishara ya kumkaribisha rasmi kwenye kabila hilo wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro lililozinduliwa leo tarehe 22 Januari, 2022.
View attachment 2091745View attachment 2091746
Mnaishi kwa mashaka sana, hamjiamini.Jamani eeh huwezi ficha harufu ya kinyesi kwa kufunika kitaambaa...... Mtapata shida . WACHAGA wamefanya yao asanteni sana . Acheni Maneno ya kutunga View attachment 2091901