Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hapo hakuna Waziri ni kopo tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korona mkuuNjaa mbaya sana.serikari inakiri kolona ipo wakati kolona haipo tizii.hii misaada ya ugaibuni inalitesa taifa.
Euro watu wengi wamechanjwasasa umeandika nn, WHO washasema inabidi tuishi nalo
ama hujui saaahv Euro tunaangalia na mashabiki
Kwanza Mwenge ungesitishwaHakika ni mambo ya ajabu sana kuona serikali inayowatangazia wananchi wake achukue taadhali ya maambukizi ya ugonjwa hatari wa corona ambao sharti moja wapo ni kuepuka misongamano...
Euro watu wengi wamechanjwa
Shangaa!View attachment 1848908View attachment 1848973
SOCIAL DISTANCING
Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na...
Sina takwimu kamilina UK ina cases ngap za covid toka UERO ianze?
Tusidanganyane mkuu hadi kiama ntaamini corona ni mchezo wa wakubwa kataa ukubali umeiona fainali ya EURO jana?? Waingereza walivyojazana uwanjani na mitaani hiyo ilikuwa vita ya kiuchumi na watu au viongozi wachache kupiga hela naungana na polepole pale tulipoishia tuendelee hivyohivyo kupambana na coronaView attachment 1848908View attachment 1848973
SOCIAL DISTANCING
Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na "Kujenga Mazingira ya kupata misaaa" kutoka huko Duniani; lakini utekelezaji wa protocols za kuzuia maambukizi ya ugonjwa huu imekuwa ni kama Maigizo tu..
Mnachekeshaga! Si uache wewe mwenyewe kwenda kwenye mikusanyiko? Kama vipi piga marufuku hata mke wako na watoto wako kukusanyikana na wengine ili mjilinde. Ukiona na mke wako nae anakuzingua lala vyumba tofauti kabisa. Hii nchi siyo yenu peke yenu na msituzingue na corona yenu. Tumekataa kuipa promo sisi na tutaendelea na life kama kawaida.View attachment 1848908View attachment 1848973
SOCIAL DISTANCING
Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na "Kujenga Mazingira ya kupata misaaa" kutoka huko Duniani; lakini utekelezaji wa protocols za kuzuia maambukizi ya ugonjwa huu imekuwa ni kama Maigizo tu...
Sina takwimu kamili
Ili?next time , learn to stay on your limits
Mwanza kumechafuka. Baada ya hilo festival ukapita mwenge na kumba kumba.Nasikitika Serikali hii ambayo inatangaza Corona ipo Mtaani huku ikiruhusu matamasha makubwa ya muziki.
Maeneo ambayo Tamasha hili limepita maambukizi ni makubwa mno hadi kufikia baadhi ya hospital kutangaza kuishiwa mitungi ya gas #Mwanza #Kigoma #Dodoma na tutegemee Arusha ndani ya wiki hii kutokea mlipuko mwingine serikali ijiandae kuongeza mitungi ya gas huko...
Pitia taarifa za mwezi uliopita, UK wamekuwa na lockdown muda mrefu sana, wamepigabsana kampeni ya kuchanja watu wake.Tusidanganyane mkuu hadi kiama ntaamini corona ni mchezo wa wakubwa kataa ukubali umeiona fainali ya EURO jana?? Waingereza walivyojazana uwanjani na mitaani hiyo ilikuwa vita ya kiuchumi na watu au viongozi wachache kupiga hela naungana na polepole pale tulipoishia tuendelee hivyohivyo kupambana na corona
View attachment 1848908View attachment 1848973
SOCIAL DISTANCING
Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na "Kujenga Mazingira ya kupata misaaa" kutoka huko Duniani; lakini utekelezaji wa protocols za kuzuia maambukizi ya ugonjwa huu imekuwa ni kama Maigizo tu.
Tukisema tufanye Lockdown sidhani kama litakuwa ni jambo sahihi kutokana na vipato vyetu na hali zetu lakini kuna mengine ambayo yanaweza kufanywa kwa maagizo ya serikali kwani tulishafanya hapo Mwanzo na tuliweza kuendelea na maisha kwa kiasi fulani japo changamoto zilikuwa chache. Mfano wa haya , mpaka sasa tumetangaziwa maambukizi kufikia 400+ waliopimwa so far, achilia mbali kijiji kitakachokuwa mitaani na hakijapimwa which concludes kuwa hali si nzuri.
Licha ya Alerts hizi na taarifa hizi zenye kuhitaji tahadhari kubwa kwani tumesikia pia kuna uhitaji wa mitungi huko Shinyanga Hospital baada yaile ya Bugando kuongezwa lakin bado Serikali imeachia na inaendelea kuachia mikusanyiko isiyo na ulazima ikiwemo Mikutano ya Viongozi kama Mh. Rais wa JMT, Rais wa ZNZ, ziara ziara za mawaziri, Maonesho ya sabasaba. Mengine ni Mikutano ya vyama vya Siasa Vikiongozwa na CCM na Chadema. Haya matukio yameleta mikusanyiko mikubwa isiyofuata dhana ya "social distancing" wala uvaaji wa barakoa wala pia unawaji wa mikono au utumiaji wa vitakasa mikono. Tunashuhudia pia mibanano ya kwenye madaladala hususan ya wale ndugu zetu wa kama Mbagala, vipi wanaokimbiza mwenge nchini na mikusanyiko yake, Lakini pia Hofu yangu NI VIPI USALAMA WA VIONGOZI WETU NYETI KAMA MAMA YETU NA DK MWINYI?
Ajabu sasa ni hili Tamasha lililoandaliwa na Serikali kupitia taasisi ya wizara ya mawasiliano kwa kushirikiana na Msanii Nandy, hapo sikutaja mechi ya Simba na Yanga na mengineyo mengi Ninachojiuliza, Waziri wa afya unasubiri nini kutoa tamko na agizo la kulazimisha kufuata hizi protocols, najiuliza Wizara ya mambo ya ndani kupitia Jeshi la Polisi, Wizara ya usafirishaji kupitia Latra, Wizara ya Utamaduni na Michezo, manispaa na halmashauri mbalimbali, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya kupitia TAMISEMI na taasisi nyingine wenye dhamana na wanaohusika na matukio yanayokusanya watanzania WANASUBIRI NINI. MBONA WAO NAO WANAHUSIKA KATIKA KUKUSANYA WATU NA KUACHA HUU UGONJWA UENEE KWA KASI. Mbona mambo ni kama Mwaka jana na juzi , mbona kama hakuna tofauti na baada ya kupima mapapai?
Kama Tumetangaziwa tatizo lipo basi tuwe serious kuanzia Serikali hasa Wizara ya Afya, taasisi za serikali na zisizo za kiserikali pamoja na sisi wananchi wenyewe. Naweza mimi nikajidistance lakini vipi jamii yetu?
SERIKALI IACHE KURUKARUKA , INABIDI KUENFORCE BAADHI YA POLICIES NOW, ELSE ITAKUWA INAENDELEA KUSHIRIKI KUTUSAMBAZIA GONJWA HILI
Wacha wakome, tunawaambia ugonjwa upo wao wanaleta mambo ya ujimaMwanza kumechafuka. Baada ya hilo festival ukapita mwenge na kumba kumba.
Mh Rais huwa anapita humu, Nandi inaweza kula kwake, ikasimamishwa hio festival!Hakika ni mambo ya ajabu sana kuona serikali inayowatangazia wananchi wake achukue taadhali ya maambukizi ya ugonjwa hatari wa corona ambao sharti moja wapo ni kuepuka misongamano..
Nyingi tu, juzi walitangaza kwamba zaidi ya raia 2,400 waliokuwa wamekwisha pata chanjo kamili ya KOVID baadae walikumbwa na maambukizi - yaani chanjo hizi type ya mRNA haziaminiki.na UK ina cases ngap za covid toka UERO ianze?