Rais Samia SGR inakuchonganisha na wananchi

Rais Samia SGR inakuchonganisha na wananchi

Afilisiwe na arudishwe "bush" kwao kwa nguvu.Afungwe kifungo kama cha yule mnyamwezi Kasanga Tumbo.Unto custody!Ili akumbuke alipotoka na alipe tozo.How do you find it,fella?
Wazo zuri lakini Kwa mfumo wa nchi yetu na nafasi aliyonayo hatayapitia hayo. Kwetu ni rahisi Kwa mfanyabiashara kufirisiwa na kufurushwa lakini sio mwanasiasa mkubwa.
 
Wazo zuri lakini Kwa mfumo wa nchi yetu na nafasi aliyonayo hatayapitia hayo. Kwetu ni rahisi Kwa mfanyabiashara kufirisiwa na kufurushwa lakini sio mwanasiasa mkubwa.
Basi,kama ni hivyo asiwatengenezee Watanzania "the living hell"!Nimemuona anasoma uzi huu huku anacheka kimtindo.
 
Mh Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo knye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .

Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji
huku mtaani watu wanakuona kama Rais dhaifu watendaji hawakuheshimu watakupa maelezo mengi na wewe utatikisha kichwa na kuwapa muda wa kushughulikia uzembe wao .Tafadhali Rais/Amiri jeshi mkuu ebu chukua hatua ukitoa deadline isipofanyika mtu afanyike yeye( Ajifukuze kazi na misukosuko mingi mno ili nchi iende )

Miradi imeanza kusima polepole wanakusikilizia , Sikuchukii wala sifurahii upole wako sana ila watu watakuchoka
TOA NENO MWEZI HUU SGR na mabasi ya mwendo kasi kwa nini waziri hajigusi, Waziri mkuu upo wapi? Mtendaji mkuu wa Dart kwa nini yupo ofisini bado kero zimezidi sasa wanalipwa kwa lipi na kwa nini?

Wasaidizi wako wakisoma hili andiko tafadhali Toa kauli na tuone utendaji , NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA UONGOZI IMARA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Anapenda kuwasikiliza machawa wake kuliko kina mzee Waryoba.
 
Shida ya Nchi yetu ili mambo yaende ni lazima udikiteta ufanyike hii ni kutokana na aina ya watu tuliopo.

Tatizo ni mikataba ya Kimataifa ya haki za binadamu na Demokrasia.

Kilichotakiwa kufanyika ni kuchukua machache mazuri kutoka katika kila awamu za uongozi zilizopita na kujumlisha na machache mazuri yaliyopo na siyo kuacha mtiririko tuliouanza ikibidi wanaotutoa kwenye mtiririko wafanyiwe lolote hata kama linakiuka haki zao.

Hatuwezi kuwa nchi ya malumbano yanayoturudisha nyuma kwa maslahi binafsi ya watu wachache.
 
Hili nilisema na nasema tena SGR kupewa TRC ni kosa kubwa sana watauwa SGR kama walivyouwa TRC ni watangaze tender private sector wa operate SGR ndio key ya ufanisi.
 
Akiagiza kazi ifanyike watu wa chini yake wajue yeye ndo amiri jeshi akiagiza hutakiwi kukumbushwa
Uwajibikaji huwa upo kwenye damu/DNA ya mtu.Kuna watu wamezaliwa na vipaji vya uzezeta,kuzubaa na kutojali.Hawawajibiki/hawafanyi kazi kwa viwango.Kisayansi,inaeleweka tukitumia asilimia kumi tu ya kuwaza/kushughulika/kutumia akili tutapata matokeo/tija bora kuliko sasa.
 
Hili nilisema na nasema tena SGR kupewa TRC ni kosa kubwa sana watauwa SGR kama walivyouwa TRC ni watangaze tender private sector wa operate SGR ndio key ya ufanisi.
Wataanzisha nyuzi kwamba nchi inauzwa.Jamaa ni wezi hawana mfano.Kuanzia madereva,wale "watazamaji wa tiketi"/tikti/tickets,wafagizi,polisi na wengineo.Robo tatu ya mapato ya TRC wanachukua wao.Great thieves!๐Ÿค”
 
Uwajibikaji huwa upo kwenye damu/DNA ya mtu.Kuna watu wamezaliwa na vipaji vya uzezeta,kuzubaa na kutojali.Hawawajibiki/hawafanyi kazi kwa viwango.Kisayansi,inaeleweka tukitumia asilimia kumi tu ya kuwaza/kushughulika/kutumia akili tutapata matokeo/tija bora kuliko sasa.
Sio kweli kwa sababu zamani nilishafanya kazi private sector Tanzania tulinyooka na nilivyopanda cheo niliwanyoosha kweli kweli mpaka nikatoka mwenyewe
 
Sio kweli kwa sababu zamani nilishafanya kazi private sector Tanzania tulinyooka na nilivyopanda cheo niliwanyoosha kweli kweli mpaka nikatoka mwenyewe
Siyo kweli kuhusu nini hapo?Na kwa nini ujivunie "kuwanyoosha" watu?Ina maana uliwatesa na kuwanyima raha ya kuishi.Uliwalimisha kwa meno?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe unazani Yuko serious?

Wewe mwandalie hata vigodoro au ngoma ya baikoko atakuja msherehekee!
Ukweli usemwe.
Akili ndogo haiwez kufikiria mambo makuuubwa ya SGR, NDEGE, STINGLERS GORGE.
Akili ndogo siku zooote inachooona kila jambo hatuwezi, hatuna uwezo nalo hili. SULUHISHO LA MTU MWENYE UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI ni kuuza au kubinafsisha kwa anao waona wana Uwezo ili wamfanyiekazi.
 
Sio kweli kwa sababu zamani nilishafanya kazi private sector Tanzania tulinyooka na nilivyopanda cheo niliwanyoosha kweli kweli mpaka nikatoka mwenyewe
Siyo kweli kuhusu nini hapo?Na kwa nini ujivunie "kuwanyoosha" watu?Ina maana uliwatesa na kuwanyima raha ya kuishi.Uliwalimisha kwa meno?
Ameziba/lalia masikio wananchi tuwe wavumilivu kidogo
Hivi ,mnataka Rais aweje?Hizo wishes zenu mbaki nazo matumboni mwenu.Ukali ukiwa si wa viwango ni upambaff!
 
Hivi toka 2021 June tumeambiwa tupo asilimia 98 mpaka leo bado asilimia 98? Wakati wa mwendazake tuliona speed ya kiutendaji.
Viongozi wa Treni ya SGR wanakula na kuupiga mwingi labda mwakani ndio hiyo Treni SGR itafanya kazi sio rahisi mwaka huu. Viongozi waliopo madarakani wanaupiga mwingi.. Rushwa ,ufisadi na wezi wa Mali ya umma upo kila sehemu hongera Viongoz iwa CCM kwa kazi nzuri wanayoifanya.
 
Wataanzisha nyuzi kwamba nchi inauzwa.Jamaa ni wezi hawana mfano.Kuanzia madereva,wale "watazamaji wa tiketi"/tikti/tickets,wafagizi,polisi na wengineo.Robo tatu ya mapato ya TRC wanachukua wao.Great thieves!๐Ÿค”
Hii ndio shida mimi sina shida na watu kuwa na maoni tofauti lakini dunia nzima wala sio siri private sector ndio wana drive uchumi na nchi zote mpaka USA unasikia wanakwambia invest in USA pamoja na utajiri wao lakini wanataka kuona watu wanaongeza investment kwao sisi shida kubwa kutofautisha siasa na uwekezaji. Hakuna hata shirika moja la serikali limeleta faida yote yamefanya mawili kuuwa mitaji, kuzorota kwa huduma na hawajawahi kuji upgrade kwenda na wakati ni majanga tu. SGR iendeshwe na private na hii fursa ya wapinzani ku tender kuendesha SGR sio kusubiri kulia mitandaoni...
 
Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji.
Mpeni hizo fedha za kumalizia hiyo kazi, maneno mengi kulipa kodi hamutaki
 
Back
Top Bottom