Rais Samia: Sichukulii wapinzani kama maadui. Waliomba kurudi pamoja na kufuta kesi zao, nimefanya hivyo

Sasa hapo Chadema mnakopaga za nini kama maisha yenyewe ya kushindia Mihogo?!
Uzur sio CDM hata rangi tu ya kadi yao siijui! But nnachopinga always ni pale upinzani kufanywa ni adui no 1, kuwapiga, tesa, uaaaa, filisi, wape kesi za uhujumu uchumi, Weka magerezani!! Huo ushamba ndio napinga san pia nawasapoti wale walioteswa kipind kile kwa sababu ya kiitikadi!!
 
bashe unafanya vizuri ila haya yashughulikie:
1. Hakuna wataalamu wa kilimo na mifugo kwa wakulima wagogo na wafugaji wadogo. Mifugo inakufa kwa kukosa wapi uende kupata utaalamu. Ajili mabwana/bibi mifugo na mabwana/bibi shamba kila kijiji au kata (mtakavyoamua). Hii itasaidia sana.
 
Kwa hili mama samia ubarikiwe sana! Siasa si uadui! Ni mitazamo tofauti ya namna ya kuendesha nchi!
 

Tanzania hakuna upinzani, kuna group la waramba asali ya mama samia.
 
Uzur sio CDM hata rangi tu ya kadi yao siijui! But nnachopinga always ni pale upinzani kufanywa ni adui no 1, kuwapiga, tesa, uaaaa, filisi, wape kesi za uhujumu uchumi, Weka magerezani!! ...
Wakijifanya wajuaji ni kuwakong'ota tu.
 
Yaani Rais wa Tanzania ana nguvu za ajabu sana.

Kwanza, anaongoza watu walio wajinga kupindukia.

Na ndo maana ana uwezo wa kumfungulia mtu kesi na kumfutia mtu kesi vile ajisikiavyo!

Pili, uwepo wa idadi kubwa ya Watanzania walio wajinga, ni bahati ya mtende kwa CCM.

Tatu, hao wajinga walio wengi wanasumbuliwa na Stockholm syndrome, ikiwamo viongozi wa vyama vya upinzani!
 
Mkuu ulitaka wapinzani wafanyeje kama.katiba imeshamfanya Rais ni Mungu mtu?

Walipambana na JPM wakaishia kufungwa jela na wengine kuuawa.

Wametumia diplomasia Nako mnawakosoa.

Hivi wakati Mbowe yupo jela Kuna aliyeandamana? Why akiamua kutumia meza aonekane msaliti?

Hii nchi huwa sielewi mnataka Nini.
 
kweli
 
Kwa kweli katiba wala haijamfanya Rais awe mungu mtu.

Katiba ya Tanzania haimruhusu Rais kupiga marufuku mikutano ya siasa lakini alifanya hivyo na hakuna aliyethubutu kumpinga.
 
Utakonda mwaka huu, hayo ya kutofuata katiba umeyaona katika awamu ya mama tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…