Rais Samia: Sichukulii wapinzani kama maadui. Waliomba kurudi pamoja na kufuta kesi zao, nimefanya hivyo

Safi sana hapo hata Mimi namuunga mkono !! Lakini pia afuatilie tabia mbaya zilizopo kwenye chama chake za kuwadhalilisha watu wanaotofautiana nao kifikra !!
 
Watanzania wamekuwa wajinga awamu hii tu sio ?acheni ushamba ,Buldozer hayupo
 
β€œMdogo wangu amerudi, kaniambia mama nataka kurudi nikamwambia rudi, akasema mama nina kesi nikamwambia nazifuta, rudi. Amerudi tuimarishe siasa si ndio? Mwanamme ni yule anayejiamini, mwanamke ni yule anayejiamini. Kwahiyo kwenye uwanja wa siasa tunajiamini, tupo vizuri” amesema


Tatizo langu ni Moja tu πŸ˜ŠπŸ€“ sisi ni aina ya watu kama JPM

Huwa hawapendi kukosolewa....Huwa wanapenda kusifiwa.....hata ukosoaji wako Ina bidi uuweke kikusifiwaa....

Mama Samia πŸ’– anajenga nchi
 
Huyu Mama ni mpango wa Mungu. Atatufanyia mambo makubwa sana, siasa za chuki, fitna na visasi tulizizika Chato mwaka 2021. Tumuunge mkono kwa kuwa Tanzania ni yetu sote.
 
Huyu Mama ni mango wa Mungu. Atatufanyia mambo makubwa sana, siasa za chuki, fitna na visasi tulizizika Chato mwaka 2021. Tumuunge mkono kwa kuwa Tanzania ni yetu sote.
Kuna watu walifanya siasa ni uadui...UKICHAGUA UPINZANI SIWALETEI MAJI....UKICHAGUA UPINZANI SIWALETEI BARABARA HIZI SIO KAULI ZA 21CENTURY For sure Kuna mambo namkumbukaga JPM mm ni aina ya WATU kama JPM ila nipo so moderate....Kuna muda uso wa mbuzi Kuna muda Bata 🍷
 
Cheap politics, bado hamjifunzi kuwa hayo mambo wananchi wanajua ni ujinga?
Mngejikita kwenda kumtetea Kabudi na Biswalo maana wanaenda kusema ukweli kuhusu wizi wa "mzarendo uchwala" kupeleka fedha China na Kanada
 
Kwa kweli katiba wala haijamfanya Rais awe mungu mtu.

Katiba ya Tanzania haimruhusu Rais kupiga marufuku mikutano ya siasa lakini alifanya hivyo na hakuna aliyethubutu kumpinga.
Kwa enzi zile hata wangeenda mahakamani kupinga hilo zuio haramu jaji gani ange rule out kwamba zuio lililowekwa na jiwe lilikuwa kinyume cha katiba?Hata hukumu ya mahakama iliyotolewa mwaka jana kuhusu CAG Asadi kwamba aliondolewa kinyume cha katiba angekuwa yule Mzilankende majaji wasingejaribu kuhukumu hivyo
 
Cheap politics, bado hamjifunzi kuwa hayo mambo wananchi wanajua ni ujinga?
Mngejikita kwenda kumtetea Kabudi na Biswalo maana wanaenda kusema ukweli kuhusu wizi wa "mzarendo uchwala" kupeleka fedha China na Kanada
Mama nina kesi
 
"Nitafuta kesi zote za kipumbavu zikizofunguliwa na lile jitu ovu",
Alisikika mama akimjibu mwanasiasa huyo makini ambaye majuzi aliitikisa Arachunga.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mlimcheka sana Dr Mihogo kulipiwa deni na Komredi Kinana

Wote hapo Ufipa st madeni yenu yamefutwa Siasa ni Sayansi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…