Mnapenda chuki Nyie..kizazi Cha mashetanikumbeee, ndio maana wanamtusi marehemu tu na kumsifia mrithi wake....kumbe wamelamba asali ya ikulu hovyooo π
Hili nimeliwaza saaanaa sijaelewa ila wanatuoneaga sana kwa kweli kumbe Mambo yanawezekana tuu bila taabu...[emoji41] Au ndio tumeamua kumjibu Lema mambo yake ya laana[emoji87][emoji87]Kumbe Rais anaweza ongozana na boda boda vizuri tu. Iweje nyakati zingine barabara ifungwe kwa muda mrefu?
Ndo nimeshangaa leo, boda boda kama zoteHili nimeliwaza saaanaa sijaelewa ila wanatuoneaga sana kwa kweli kumbe Mambo yanawezekana tuu bila taabu...[emoji41] Au ndio tumeamua kumjibu Lema mambo yake ya laana[emoji87][emoji87]
Viva Samia!Yaani Rais wa Tanzania ana nguvu za ajabu sana.
Kwanza, anaongoza watu walio wajinga kupindukia.
Na ndo maana ana uwezo wa kumfungulia mtu kesi na kumfutia mtu kesi vile ajisikiavyo!
Pili, uwepo wa idadi kubwa ya Watanzania walio wajinga, ni bahati ya mtende kwa CCM.
Tatu, hao wajinga walio wengi wanasumbuliwa na Stockholm syndrome, ikiwamo viongozi wa vyama vya upinzani!
Shetani Jiwe Mwendakuzimu ilifaa afe ili Taifa Liponekumbeee, ndio maana wanamtusi marehemu tu na kumsifia mrithi wake....kumbe wamelamba asali ya ikulu hovyooo π
Nadhani Rais Samia can be the best President in AfrikaAkizungumzia siasa za nchi, Rais Samia amesema Siasa zetu zipo imara sana, tendo la juzi la kurudi kwa mtu wao wa kanda (Godbless Lema) na hakuna kilichotokea hii inaonesha kisiasa tupo imara.
βMdogo wangu amerudi, kaniambia mama nataka kurudi nikamwambia rudi, akasema mama nina kesi nikamwambia nazifuta, rudi. Amerudi tuimarishe siasa si ndio? Mwanamme ni yule anayejiamini, mwanamke ni yule anayejiamini. Kwahiyo kwenye uwanja wa siasa tunajiamini, tupo vizuriβ amesema
Utalala na viatu tena leo.π πYaani Rais wa Tanzania ana nguvu za ajabu sana.
Kwanza, anaongoza watu walio wajinga kupindukia.
Na ndo maana ana uwezo wa kumfungulia mtu kesi na kumfutia mtu kesi vile ajisikiavyo!
Pili, uwepo wa idadi kubwa ya Watanzania walio wajinga, ni bahati ya mtende kwa CCM.
Tatu, hao wajinga walio wengi wanasumbuliwa na Stockholm syndrome, ikiwamo viongozi wa vyama vya upinzani!
Hivi katiba inamruhusu rais kufuta kesi iliyopo mahakamani?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Usa River Mkoani Arusha leo tarehe 05 Machi, 2023 akiwa njiani kurejea jijini Dodoma baada ya kufunga kikao kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu siku ya tarehe 04 Machi, 2023
View attachment 2538381
Samia Suhulu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais Samia amesema kuwa Serikali imesitisha ukataji wa maeneo mapya ya kiutawala ili kubana bajeti. Badala yake fedha zinazopatikana zinaelekezwa kwenye miradi ya kimaendeleo ili kuwahudumia wananchi.
Akizungumzia siasa za nchi, Rais Samia amesema Siasa zetu zipo imara sana, tendo la juzi la kurudi kwa mtu wao wa kanda (Godbless Lema) na hakuna kilichotokea hii inaonesha kisiasa tupo imara.
βMdogo wangu amerudi, kaniambia mama nataka kurudi nikamwambia rudi, akasema mama nina kesi nikamwambia nazifuta, rudi. Amerudi tuimarishe siasa si ndio? Mwanamme ni yule anayejiamini, mwanamke ni yule anayejiamini. Kwahiyo kwenye uwanja wa siasa tunajiamini, tupo vizuriβ amesema
Pia, Rais amesisitiza kuwa Mtanzania yeyote, awe chama chochote kinachotofautisha ni mawazo na fikra pekee, pia yeye hachukulii wapinzani kama maadui bali kama watu watakaosaidia kumuonesha changamoto zilipo azitekeleze ili CCM iimarike.
Amewashukuru pia bodaboda waliomsindikiza kuanzia mjini, amesema anawatambua na waendelee na mwendo huohuo hadi 2025.
Awali, Waziri wa Kilimo Mhe. Bashe amesema kuwa Serikali imekamata viongozi fulani huko Babati wakishirikiana na watumishi wa NRFA wakihujumu mahindi wanayowauzia wananchi ambapo wamekuwa wanayachukua na kuwapa wafanyabiashara. Amesisitiza kuwa mfanyabiashara yoyote atakayekamatwa na mahindi ya NRFA atakamatwa na kupelekwa kwenye vyombo vya dola kisha Serikali itataifisha mahindi hayo.
View attachment 2537925
Hussein Bashe, Waziri wa KilimoAidha, Waziri Bashe amempa Rais taarifa ya Kukamatwa kwa mtu mmoja Njombe ambaye ndani ya ghala lake ameweka mbolea ambayo imechanganywa na mchanga.
βMkuu wa Mkoa wa Njombe na kamati yake ya Ulinzi nimeongea nao sasa hivi. Nimewaambia wamkatamate yule mwenye kiwanda, wamkamate mwakilishi wake, wafunge lile ghala, wawapeleke kwenye vyombo vya dola. Huu ni uhujumu uchumi kama uhujumu uchumi mwingine yoyoteβ
Amesisitiza kuwa Serikali itasitisha ruzuku kwa mtuhumiwa huyu pamoja na kutembelea wakulima wote walionunua mbolea hiyo ili kujiridhisha ili hatua kali ziweze kuchukuliwa.
Labda asali iliyopo katikati ya mapaja ya mamakokumbeee, ndio maana wanamtusi marehemu tu na kumsifia mrithi wake....kumbe wamelamba asali ya ikulu hovyooo π
Don't write like headless chicken. Kwani DPP anajiteua?DPP ni ofisi huru ya mashtaka haitakiwi kuingiliwa na Rais. Hii ni kwa mujibu wa KATIBA YA NCHI na sheria zinazoongoza ofisi ya DPP.
HAPA KUNA SHIDA KUBWA.
Kumbe DPP na Rais wanaweza kukaa chimbo wakatengeneza mikakati!!!!
Sukuma Gang mtakomaza mishipa ya shingo ila tambueni kuwa nchi hii ilikuwa inaharibiwa na Magufuli. Mungu alitutua mzigo tarehe 17/03/21 alipompeleka jehanam yule DHALIMU wa ChatoTatizo ni kuwa CHADEMA hawajatambua kuwa wameingizwa choo cha kike. Makali yenu yanapunguzwa polepole na mwishowe mtakuwa jumuia ya CCM kama UWT UVCCM au Jummuia ya Wazazi. CHADEMA ina"deal" na mswahili. Kwa kawaida sisi watu wa bara tunakuwaga waangalifu saana na waswahili. Mswahili ni mtu mmoja mjanja ambaye mara nyingi mambo yake ni kijanjakijanja na huwa hataki kuonyesha ubaya wake, lakini kwenye ubaya hana tofauti saana na binadamu wengine. Mswahili anapenda kuuma na kupulizia. Siku zote atakuchekea lakini ukitoka anakusengenya. Serkali ya wawamu ya nne ilikuwa ni ya kiswahili, ndiyo maana kulikuwa na ugumu wa kuchukuwa maamuzi magumu, maana haikutaka kumuudhi yeyote. Tunaweza kusema kwa kifupi kuwa waswahili wana "diplomacy" ya hali ya juu saana.
Watu wa bara mara nyingi wanakuwa wakweli. Wakikasirika au kuchukia wanaonyesha. Hawajui kusema uongo. Hawajui kutabasamu huku wamekasirishwa na wanapenda kuchukuwa hatua hapohapo. Nafikiri hata ukilinganisha maraisi utaona tofauti kubwa kati ya Nyerere, Mkapa, na Magufuli kwa upande mmoja na Mwinyi, Kikwete, na Samia kwa upande mwingine. Tofauti za hawa zimejikita kwenye tofauti za malezi ya Kiswahili na Kibara. Hii ndiyo maana upinzai ulidhania kulikuwa na ahueni Kikwete na Samia na si kwa Magufuli na Nyerere. Ukweli ni kuwa chini ya Samia, upinzani utafurahia, lakini mwishoni watajikuta wanapoteza agenda zao zote. Samia kaja na gia ya siasa za kistaarabu. Ina maana matumizi ya "combative politics" yataisha. Huenda wapinzani wakajikuta hawawezi kuongelea uozo wa serkali kwa sababu huenda ikawa kinyume cha maridhiano. Mkishafungwa hivyo, kumbukeni mmkekuwa tawi au jumuia ya CCM na huo ndiyo mwisho wenu wa umaarufu na kupata kura. Mama kaangalia mbali na kuona staili ya nguvu ya Magufuli inawasaidia zaidi kunyanyuka na kuzielezea agenda zenu. Naomba muweni waangalifu (huenda mwenyekiti wenu kanunuliwa kwa staili tofauti na zile alizotumia Magufuli kuwanunua waliyopiuta).
povu lote hilo shida nini mkuu?, afya ya akili au ninini ujinga kutamka watu kulamba asali, kwa ujinga huo huo unaweza kumsifia yule muuaji na jambazi wenu mfu
hamna kitu yulekumbe mamayenu mtoa rushwa hovyo kabisa.
watu wema hufa mapema, sema wewe huelewi haya mambo...umri mdogoShetani Jiwe Mwendakuzimu ilifaa afe ili Taifa Lipone
ikulu zenyewe hizi za arusha mara dar, hamna kituLabda asali iliyopo katikati ya mapaja ya mamako
Mbona alimbambikia mbowe halafu alivyomfutia kesi watu wakashangilia tenaSiyo kweli, Samia alijipambanua kuanzia anaapishwa kuwa kesi za kubambikiza wananchi hasa wapinzani zifutwe. Ila sijui kama unaelewa Mahakama inavyofanya kazi. Mahakama haifuti kesi bali DPP ndiyo anaondoa kesi kwa principle ya nolle prosecui.
Magufuli alirundika wapinzani wengi Mahakamani na wakapewa kesi za mauaji na ufisadi. Kesi hizo ilikuwa vigumu kuzishinda mahakamani. Mpaka mwenyewe anakufa hakuna mtu alikuwa kahukumiwa.
Jaribu kuelewa nilichoandika kama una akili