Pre GE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Serikali iko chini yake, vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yake na chama chake. Unadhani nani wa kulaumiwa?
Du
You shameless leaders, when are you going to stop hypocrisy???
Vyeo visifanye mtu usahau vitabu vitakatifuu....
Si lazima kushiriki direct lkn hatakama unajua na unaficha na kutetea mauaji tayari umeshiriki mauaji hayo!!
Mtangulizi hakufanya direct ila alitetea kama anavyotetea mpokea kijiti huku akiuficha ukweli badala ya kuruhusu waovu wachukuliwe hatua stahiki yeye anawapa vyeo!!!
Mwenye madhaifu anaendelea kukitumikia cheo
 
Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.

Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.

Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.

Adui wa Rais yupo naye karibu sana. Na kwa jinsi ninavyo ona wanafanikiwa lengo lao. Anaonekana kuumia... Hapo anahitaji support kubwa ya wananchi.. hao viongozi wake bado support yao ni ndogo sana...
 
Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.

Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.

Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.

Tunawajibu tukiwa uchochoroni, ingependeza tungewajibu huko kwenye

Jirani zetu wsliowaua waliwaita mende, huyu wa lwetu anawaita sisimizi, wote ni maadui wa viongozi wezi.
 
Mungu wa Mbinguni azidi kukubariki mh Rais Samia 🌹

Tatizo ni hawa akina Mwagito Chalamila maelezo yao hawayanyooshi Sawa Sawa

Ila kiukweli hili swala la kushambuliwa Mwenyekiti ambaye ni Rais wa JMT halikubaliki kabisa!
Daah mbona kuna wanawake wengine ni viongozi makini tu... Huyu kawaje?🤔🤔
 
Mdogo wangu Lamomy ,Mimi huwa najibu hoja mpaka wapinzani wanatetemeka na kububujikwa na machozi Utafikiri wamepigwa na bomu la machozi ndani.
Screenshot_20240929-014956.png
 
Mimi kwa upande wangu naamini maneno yake. Kinachoniumiza na kunisikitisha kwa nini manusura wanawataja watesi na wauaji wao hadharani kabisa na hawachukuliwi hatua zozote. Hii ni nini maana yake?
Maana yake ni kwamba tuhumu hizo ni za kweli kwani ingekuwa si za kweli wangashafungua mashtaka.
Back kwa kulialia kwa bi SASHA, mbona akisifiwa kwa yaliyotendwa na juniors wake hakatia hizo sifa kudai hazimuhisu lakini lawama anataka kuzikwepa?
She is bloody guilty as charged, no place to hide.
 
Sasa hivi Tanzania katika viwango vya kimataifa inang’ara?

Kasema hivyo na wamempigia makofi!

Kama inang’ara hivyo mbona hakwenda Marekani kwenye UNGA?

Kama kweli inang’ara basi afanye mahojiano na Stephen Sackur kwenye HARDtalk halafu tuone 🤣.
Haha inabidi kuwepo na mkalimali, sema sackur atalishwa maneno na mkalimali, kumbuka mkalimali wa kwenye msiba wa jiwe, na ruto kukataa kulishwa maneno,
Yan ccm haiminiki Duniani kabisa
 
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israeli vinatoa mrejesho juu ya watu magaidi watekaji wauaji waliojichimbia nchi za mbali Lebanon n.k

Lakini inasikitisha Tanzania kuna kimya kingi cha serikali ya chama dola kongwe CCM ni lini magaidi watekaji hawa watafikishwa mahakamani.

Vyombo vya ulinzi na usalama (wa ndani ) Tanzania vimeshindwa kabisa kukamata watuhumiwa wa kikosi hiki cha watu wasiojulikana wanaoeneza hofu na pia kuteka, kupoteza na kuua raia wa Tanzania.
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amesema yeye hajawahi kuua mtu ila labda kuua Sisimizi.

View attachment 3109392
Sawa kama hajawahi kuua hao wanaotekwa na kuuliwa ni wa nchi ngani na kiongozi wa hiyo nchi ninani sababu viongozi wa nchi za kiafrika ndio wauhaji namba moja

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Una nchi wewe?

Toka lini?

Wewe sana-sana ni mwananchi tu, siyo mwenye-nchi.
Nimesema popote kuwa "nina nchi"?
Hizi zote ni kuvurugika kwa akili kunako kusumbua wakati huu; kiasi kwamba hata hali ya "ulevi" wa kudumu unayo julikana kuwa nao haisaidii tena kutuliza akili hiyo iliyo vurugika.
 
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Israeli vinatoa mrejesho juu ya watu magaidi watekaji wauaji waliojichimbia nchi za mbali Lebanon n.k

Lakini inasikitisha Tanzania kuna kimya kingi cha serikali ya chama dola kongwe CCM ni lini magaidi watekaji hawa watafikishwa mahakamani.

Vyombo vya ulinzi na usalama (wa ndani ) Tanzania vimeshindwa kabisa kukamata watuhumiwa wa kikosi hiki cha watu wasiojulikana wanaoeneza hofu na pia kuteka, kupoteza na kuua raia wa Tanzania.
Watawakamata vipi wakati kikosi hicho ni maalum kinacho fanya kazi wanayotumwa na huyo "muua sisimizi"?
 
Mungu wa Mbinguni azidi kukubariki mh Rais Samia 🌹

Tatizo ni hawa akina Mwagito Chalamila maelezo yao hawayanyooshi Sawa Sawa

Ila kiukweli hili swala la kushambuliwa Mwenyekiti ambaye ni Rais wa JMT halikubaliki kabisa!
MUUAJI MKUBWA KUWAHI KUTOKEA , NA HIYO HATAIFUTA KATIKA HISTORIA YAKE
 
Back
Top Bottom