Pre GE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Pre GE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa hivi Tanzania katika viwango vya kimataifa inang’ara?

Kasema hivyo na wamempigia makofi!

Kama inang’ara hivyo mbona hakwenda Marekani kwenye UNGA?

Kama kweli inang’ara basi afanye mahojiano na Stephen Sackur kwenye HARDtalk halafu tuone 🤣.
Iling'ara kipindi cha Magufuli, mtu ambae aliuunga mkono mauwaji nakuzima maandamano ya Ukuta kipindi cha Magufuli, hana uhalali wakukemea anayofanya Samia. Maana niyaleyale hasa katika ukandamizaji.
 
Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.

Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.

Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.

Ni muuaji full stop.
Mama Samia kauwa njia za mkato za bandarini, lazima nyoyo ziwaume na vijiba vya rohi viwakabe.

.Siku hizi siwaoni hata wale vijana mnaowaleta kutoma bara huko,bwaliojazana eti wanouza kwa "polomosheni".

Imeuliwa?
 
ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
😂😂
 
Mama Samia kauwa njia za mkato za bandarini, lazima nyoyo ziwaume na vijiba vya rohi viwakabe.

.Siku hizi siwaoni hata wale vijana mnaowaleta kutoma bara huko,bwaliojazana eti wanouza kwa "polomosheni".

Imeuliwa?
Tulia wewe nyie wote ni wauaji
 
Na hicho ndicho tunachokifanya mimi pamoja na hao wangwana wazalendo muhimu sana kwa Taifa uliowatag. ChoiceVariable na Lucas Mwashambwa

Kazi yetu kwa niaba ya chama na wananchi ni kujibu hoja na kueleza kinagaubaga mama huyu kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake sikivu ya CCM wanafanya nini kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Hata siku moja huwezi kuta mimi au hata hao wangwana tunampongeza Rais bila kwanza kueleza kinagaubaga alichofanya kwaajili ya manufaa ya hawa waTanzania..

Kwa mfano,
Hembu angalia uzalendo, nia na dhamira njema ya mama huyu kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan, leo alipaswa kuhutubia Baraza kuu la umoja wa Mataifa huko new York marikani, akaamua kung'ang'ana tu na kuwaletea maendeleo waTanzania wa Ruvuma na Songea.

Kweli tuache kumpongeza Rais kwa hilo mpendwa mtumishi Lamomy na hata haijulikani umekurupukia kutoka wapi maana ni kitambo hauko jukwaani?, real?🐒
Mafwele pambania ugali baba🐍
 
Kuwa rais wa JMT ndio kunamfanya asiwe muuaji? Ni muuaji fullstop.

Wazanzibari wanadharau sana Watanganyika wanapokuja kujichotea mapesa ya kodi za Watanganyika na kujilimbikizia mali kupitia madaraka.

Matajiri wakubwa wa nchi hii wanamkono wa Wazanzibar waliotutawala ndio maana analeta dharau eti nchi iligubikwa na giza sasa yeye ndio ameleta mwanga .
 
Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.

Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.

Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.

Mh rais anawateua watu ambao wala hata hawana habari ya kumsaidia zaidi ya kujiimarisha wao wenyewe na kula kwa urefu wa kamba bila kufanya kazi, mwisho wa siku mama anajikuta yupo peke yake anapambana
 
Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.

Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.

Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.

Pole sana Rais wangu.
Ulianza vizuri lakini mistake kubwa ni kufikiri Urais ni mtu tu, hapana, Urais ni Taasisi.
Taasisi hii inaongozwa na Rais.
Hii Taasisi imeyumba na vyombo vinafanya kama vitakavyo.
Lawama ni kwenye Taasisi, na Rais asipopata ushauri unaofaa basi Taasisi ya Urais haiko vizuri na Rais anadhalilija.
Mwisho Rais inabidi aisuke Taasisi yake vizuri maana lawama zote zinaishia kwake.
 
Huku kwetu kuna Mama aliwekewa kikao na wanakijiji wakimtuhumu kuwa ni mchawi
Alibisha katakata na solution ulikuwa ni kumuita mtaalamu(mganga)
Ndiye aliyethibitisha kwamba ni mchawi mkweli

Tuwaite investigators tuache longo longo mama kama upo safi hofu yako nini
 
Back
Top Bottom