Rais Samia sio mzalendo kwao!

Rais Samia sio mzalendo kwao!

Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais aliusaidia sana mkoa wake wa Chato kimaendeleo na kiuchumi. Hili halihitaji utafiti kwani liko wazi kwa kila Mtanzania mwenye akili zilizotimia.

Baada ya Dr Samia kushika madaraka anajaribu kufuata nyayo za Magufuli lakini ameshindwa kuzifuata sawasawa. Tukumbuke Magufuli alipeleka Chato mbuga ya wanyama, uwanja wa ndege wa kimataifa, hospitali ya kanda, mabenki, ujenzi wa vivuko vya majini, ujenzi wa barabara kila kona ya Chato na mambo mengine kadha wa kadha. Mtu kwao.

Sasa wewe fikiria Magufuli kapeleka kwao mambo yote haya halafu Dr Samia (chifu Hangaya) yeye anapeleka akademi ya mpira na matamasha ya “Usiku wa mama Samia”. Hivi huyu Rais kweli ana uzalendo wa kutosha kwa watu wa Kizimkazi kama Magufuli alivyokuwa serious na Chato? Mimi tpaul nasema huyu mama hana uzalendo na mahali alipotoka.

Hafai kwa kula wala kwa kulumangia. Hivi anawaonaje au anawachukuliaje watu wa Kizimkazi kwa kuwapelekea matamasha na viwanja vya mpira wakati wazanzibar mambo ya mpira sio kipaumbele chao?

View attachment 2734237

Mama aliwahi kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Iweje leo aende tofauti na Magufuli kama sio kukengeuka? Inasikitisha sana. Mtu kuwa pamoja na mtu sharti uwaji huo wa pamoja uhusishe matendo sio maneno matupu ambayo hayawezi kuvunja mfupa. Tafadhali sana Dr Rais Samia nakuomba uwaheshimishe wanaKizimkazi kama Magufuli alivyowaheshimisha wanaChato. Mdharau kwao ni mtumwa. Usiwe mtumwa Tanganyika ukasahau kwenu Zanzibar.

Nawasilisha.
We poyoyo toa huu upupu wako hakuna mkoa wa Chato. Yule marehemu mshamba, mwizi, muuaji, mbaguzi usitukumbushie habari zake.
 
Hivi mtu ukiwa mpumbavu kumbe huwezi kujitambua. Sasa upumbavu wote ule wa kishamba wa Magufuli ndio unatuandikia km kitu cha maana? We kweli ni mwehu. Halafu usimlinganishe Samia na yule mwehu wenu. Samia ni mtu tofauti kabisa, ni akili kubwa na mwenye uelewa wa hali ya juu sana usimlinganishe na mshamba yule
 
MWALIMU NYEREREANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE.
Wachache wanaopitia shairi hili kuntu la Baba wa Taifa.
 
We poyoyo toa huu upupu wako hakuna mkoa wa Chato. Yule marehemu mshamba, mwizi, muuaji, mbaguzi usitukumbushie habari zake.
Lakini mwendazake alikaribia kuanzisha mkoa wa Chato mkuu. Au wewe hukusikia hilo?
 
Hivi mtu ukiwa mpumbavu kumbe huwezi kujitambua. Sasa upumbavu wote ule wa kishamba wa Magufuli ndio unatuandikia km kitu cha maana? We kweli ni mwehu. Halafu usimlinganishe Samia na yule mwehu wenu. Samia ni mtu tofauti kabisa, ni akili kubwa na mwenye uelewa wa hali ya juu sana usimlinganishe na mshamba yule
Mshamba wakati kapeleka maendeleo kwao? Mshamba ni wewe ambaye ukipata madaraka utasahau kuendeleza nyumbani kwenu.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais aliusaidia sana mkoa wake wa Chato kimaendeleo na kiuchumi. Hili halihitaji utafiti kwani liko wazi kwa kila Mtanzania mwenye akili zilizotimia.

Baada ya Dr Samia kushika madaraka anajaribu kufuata nyayo za Magufuli lakini ameshindwa kuzifuata sawasawa. Tukumbuke Magufuli alipeleka Chato mbuga ya wanyama, uwanja wa ndege wa kimataifa, hospitali ya kanda, mabenki, ujenzi wa vivuko vya majini, ujenzi wa barabara kila kona ya Chato na mambo mengine kadha wa kadha. Mtu kwao.

Sasa wewe fikiria Magufuli kapeleka kwao mambo yote haya halafu Dr Samia (chifu Hangaya) yeye anapeleka akademi ya mpira na matamasha ya “Usiku wa mama Samia”. Hivi huyu Rais kweli ana uzalendo wa kutosha kwa watu wa Kizimkazi kama Magufuli alivyokuwa serious na Chato? Mimi tpaul nasema huyu mama hana uzalendo na mahali alipotoka.

Hafai kwa kula wala kwa kulumangia. Hivi anawaonaje au anawachukuliaje watu wa Kizimkazi kwa kuwapelekea matamasha na viwanja vya mpira wakati wazanzibar mambo ya mpira sio kipaumbele chao?

View attachment 2734237

Mama aliwahi kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Iweje leo aende tofauti na Magufuli kama sio kukengeuka? Inasikitisha sana. Mtu kuwa pamoja na mtu sharti uwaji huo wa pamoja uhusishe matendo sio maneno matupu ambayo hayawezi kuvunja mfupa. Tafadhali sana Dr Rais Samia nakuomba uwaheshimishe wanaKizimkazi kama Magufuli alivyowaheshimisha wanaChato. Mdharau kwao ni mtumwa. Usiwe mtumwa Tanganyika ukasahau kwenu Zanzibar.

Nawasilisha.
Akijenga viwanja vya ndege na kuanzisha matawi ya CRDB mtapiga makelele mpaka dunia nzima itasikia. Kaamua kula kidogo kidogo.
 
Mkuu kapeleka tamasha tu humu JF ni maneno kila siku, sikwambii apeleke hispitali. Hivi hizi fukunyuku za Watanganyika huzioni na huzisikii? Mama Samia ni mzalendo wa Zanzibar na mzalendo wa Tanzania. Mwenyezimungu ampe nguvu ya kuitumikia Tanzania - Bara na Visiwani.
 
Back
Top Bottom