Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Wakuu Asalam aleikum,
Hayati Magufuli aliwahi kusema kuwa "your not free to such extent" akiwatahadharisha wanahabari juu ya kile alichokiita upotoshaji na kuwaonya vikali.
Baada ya kauli hiyo vyombo vyote vikawa vya mlengo mmoja na wale waliotaka kwenda kinyume walinyooshwa kwa mkono wa chuma. Kauli ya Magufuli iliumba na kupelekea kuleta matatizo makubwa sana kwa sekta ya habari.
Samia ameanza naye kuvitisha vyombo vya habari, amekuwa kama mtangulizi wake media, kama wanahabari wameandika upotoshaji waambieni ukweli kisha watabadiri taarifa na kuomba radhi ila siyo kuwatisha na kuwadhalilisha et "VITV"