GE2025 Rais Samia: Siongozi Wanyonge, Naongoza Watanzania Naotaka Kuwajengea Tanzania Tunayoihitaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
TCRA waliifungia X (twitter) lakini bado wenyewe wanaitumia kutoa taarifa kwa umma

TCRA imeifungia JF lakini bado chawa wa serikali hawaoni aibu kuingia.

Najiuliza; ni aibu imetuisha au ni dharau, au ni kujificha kwenye ulimwengu wa kimataifa ili wakiulizwa wawe na la kujitetea kwamba mitandao tajwa haijafungiwa mbona hata taasisi za kiserikali zinatumia, au ni kutuambia kwamba wao wapo juu ya sheria ndio maana wanaweza kuingia kwa VPN ilhali wengine hawaruhusiwi?
Ukiona hivyo yenyewe ayaridhiki kwa kile kinafanywa na boss wao ila njaa inawasumbua.
 
Moderators naomba muachie Uzi wangu wa "namna ya kutambua madini na bei zake
 
Ukiona hivyo yenyewe ayaridhiki kwa kile kinafanywa na boss wao ila njaa inawasumbua.
Nikama mushambwa wenzie wamefunga huku na bado wanakuhitaji hii ni aibu,japo waambie wenzio kuwa walichofanya sii sawa!
 
Mimi nina mashaka makubwa na aina ya watu jamii ya akina Luca
Kuna mmoja nilikuwa nasoma naye tunakula kitimoto na kwenda chimbo. Mara ghafla hanywi coca, mara samaki jodari hali, mara chimbo haendi kuangalia hata kitimoto hataki kuona. Kumbe kapata demu msabato kambadilisha kawa mbabe hata kuliko Helen White mwenye usabato wake
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ni Kauli nzito ,kauli ya Matumaini,kauli ya kijasiri ,kauli iliyoleta matumaini,furaha ,tabasamu kwa watanzania. Ni kauli ya kiuongozi yenye kuonyesha umadhubuti ,uimara na ushupavu wa kiuongozi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ni Kauli yenye kuonyesha namna Rais wetu alivyodhamiria kuwainua kiuchumi watanzania wote na Kugusa Maisha ya kila mmoja wetu. Ni kauli yenye kuonyesha namna Rais wetu anavyochukizwa na Umaskini wa kipato na kudhamiria kuutokomeza kabisa. Kwa hukamilisha kuwa kila mtanzania anaishi Maisha bora ambayo mtu anakuwa na uwezo wa kupata milo mitatu bora na yenye virutubisho.

Embu Soma 👉Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa Serikali yake inatekeleza huduma za kijamii kwa Watanzania wote.

Akizungumza leo Septemba 6, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Kalenga, Iringa Vijijini, Dkt. Samia amesema kuwa malalamiko yanayoibuliwa kwenye Kampeni nyingi yanatokana na hali halisi ya maisha ya Wananchi wa kawaida, hasa waliopo vijijini.

Katika kujibu hoja kuwa serikali ya sasa si ya wanyonge, Dkt. Samia amesema haongozi kundi maalum la watu bali anaongoza Watanzania wote, akieleza kuwa maendeleo yanayotekelezwa yana lengo la kuwagusa wananchi bila kujali hali yao ya kiuchumi.

“Mimi siongozi wanyonge, ninaongoza Watanzania ambao ninataka kuwajengea Tanzania tunayoitaka.”

Akitolea mfano wa hatua zilizochukuliwa, alitaja uboreshaji wa miundombinu ya afya, elimu, upatikanaji wa maji na umeme katika maeneo ya vijijini. Alisisitiza kuwa huduma hizi zimefikishwa hadi vitongoji vya mbali, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha usawa wa maendeleo nchini.

Kwa mujibu wa Dkt. Samia, dhana ya kuwajali wanyonge haipaswi kutumika kisiasa bali inapaswa kuonekana kupitia matokeo ya kazi za serikali. Alisema kuwa kumjali mnyonge ni kuhakikisha huduma zinamfikia mahali alipo, si kwa maneno bali kwa vitendo.View attachment 3467157

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hii namuunga mkono asilimia mia Moja...nchi ni ya wananchi na sio ya wanyonge...wanyonge ni maskini, wagonjwa wasiojiweza. Taifa HALIWEZI kuendelea kama nguvu kazi ambayo ni watu eti ni wanyonge. Huu upuuzi wa kuita watu wanyonge uishe mara moja. Bravo la mama
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ni Kauli nzito ,kauli ya Matumaini,kauli ya kijasiri ,kauli iliyoleta matumaini,furaha ,tabasamu kwa watanzania. Ni kauli ya kiuongozi yenye kuonyesha umadhubuti ,uimara na ushupavu wa kiuongozi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ni Kauli yenye kuonyesha namna Rais wetu alivyodhamiria kuwainua kiuchumi watanzania wote na Kugusa Maisha ya kila mmoja wetu. Ni kauli yenye kuonyesha namna Rais wetu anavyochukizwa na Umaskini wa kipato na kudhamiria kuutokomeza kabisa. Kwa hukamilisha kuwa kila mtanzania anaishi Maisha bora ambayo mtu anakuwa na uwezo wa kupata milo mitatu bora na yenye virutubisho.

Embu Soma 👉Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa Serikali yake inatekeleza huduma za kijamii kwa Watanzania wote.

Akizungumza leo Septemba 6, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Kalenga, Iringa Vijijini, Dkt. Samia amesema kuwa malalamiko yanayoibuliwa kwenye Kampeni nyingi yanatokana na hali halisi ya maisha ya Wananchi wa kawaida, hasa waliopo vijijini.

Katika kujibu hoja kuwa serikali ya sasa si ya wanyonge, Dkt. Samia amesema haongozi kundi maalum la watu bali anaongoza Watanzania wote, akieleza kuwa maendeleo yanayotekelezwa yana lengo la kuwagusa wananchi bila kujali hali yao ya kiuchumi.

“Mimi siongozi wanyonge, ninaongoza Watanzania ambao ninataka kuwajengea Tanzania tunayoitaka.”

Akitolea mfano wa hatua zilizochukuliwa, alitaja uboreshaji wa miundombinu ya afya, elimu, upatikanaji wa maji na umeme katika maeneo ya vijijini. Alisisitiza kuwa huduma hizi zimefikishwa hadi vitongoji vya mbali, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha usawa wa maendeleo nchini.

Kwa mujibu wa Dkt. Samia, dhana ya kuwajali wanyonge haipaswi kutumika kisiasa bali inapaswa kuonekana kupitia matokeo ya kazi za serikali. Alisema kuwa kumjali mnyonge ni kuhakikisha huduma zinamfikia mahali alipo, si kwa maneno bali kwa vitendo.View attachment 3467157

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Watu kama ww ndio Shida nchi hii
 
4.7 years hajawapeleka kule anakohitaji. Anataka tz ya kusifu na kuabudu with no challenge. Kwenye maisha ni kupangua challenge na si kuzizima, maisha bila challenge hakuna ubunifu.
 
Back
Top Bottom