GE2025 Rais Samia: Siongozi Wanyonge, Naongoza Watanzania Naotaka Kuwajengea Tanzania Tunayoihitaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukiona hivyo yenyewe ayaridhiki kwa kile kinafanywa na boss wao ila njaa inawasumbua.
 
Moderators naomba muachie Uzi wangu wa "namna ya kutambua madini na bei zake
 
Ukiona hivyo yenyewe ayaridhiki kwa kile kinafanywa na boss wao ila njaa inawasumbua.
Nikama mushambwa wenzie wamefunga huku na bado wanakuhitaji hii ni aibu,japo waambie wenzio kuwa walichofanya sii sawa!
 
Mimi nina mashaka makubwa na aina ya watu jamii ya akina Luca
Kuna mmoja nilikuwa nasoma naye tunakula kitimoto na kwenda chimbo. Mara ghafla hanywi coca, mara samaki jodari hali, mara chimbo haendi kuangalia hata kitimoto hataki kuona. Kumbe kapata demu msabato kambadilisha kawa mbabe hata kuliko Helen White mwenye usabato wake
 
Hii namuunga mkono asilimia mia Moja...nchi ni ya wananchi na sio ya wanyonge...wanyonge ni maskini, wagonjwa wasiojiweza. Taifa HALIWEZI kuendelea kama nguvu kazi ambayo ni watu eti ni wanyonge. Huu upuuzi wa kuita watu wanyonge uishe mara moja. Bravo la mama
 
Watu kama ww ndio Shida nchi hii
 
4.7 years hajawapeleka kule anakohitaji. Anataka tz ya kusifu na kuabudu with no challenge. Kwenye maisha ni kupangua challenge na si kuzizima, maisha bila challenge hakuna ubunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…