Kwani anayoyafanya Mh. Rais Samia huyaoni au unajifanya hamnazo? Zingatia usemi huu "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"Aiseeeeeh hivi mnawezaje kutwa kucha kufanya kazi ya kumsifia mwenyekiti wa ccm?
Wewe mpuuzi kweli kweli, huyo samia uliambiwa anachokifanya anakifanya kwa hisani au anatekeleza majukumu ya kazi aliyoitaka ?Kwani anayoyafanya Mh. Rais Samia huyaoni au unajifanya hamnazo? Zingatia usemi huu "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"
Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
Wanalipwa kwa ujinga huoAiseeeeeh hivi mnawezaje kutwa kucha kufanya kazi ya kumsifia mwenyekiti wa CCM?