PostGE2025 Rais Samia: Sisi wazazi wenu tungefanya mliyofanya nchi hii isingekuwa na neema kama sasa

PostGE2025 Rais Samia: Sisi wazazi wenu tungefanya mliyofanya nchi hii isingekuwa na neema kama sasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Gen Z komaeni mpaka kieleweke. Hakuna kitu hapa, zaidi tu ya muendelezo story zile zule za miaka nenda
Kaahidi kuunda wizara maalum na yeye kuwa na washaurj kuhusu vijana. 🤣🤣🤣🤣 sijui nani kamdanganya kudhani itapunguza tension za vijana.

Yule ndejembi sijui alikuwa anafanya nini na wengine waliopita wizara hiyo.
 
VIJANA NDIYO INJINI YA MABADILIKO

Mcheki kiongozi wa mapinduzi ya Cuba kamandate Fidel Castro hapa clip ikionesha kijana kiongozi wa nchi ya Cuba mwaka 1959 akiwa na umri wa miaka 33 akihojiwa kuhusu visheni ya uongozi mpya mwaka 1959

The young Prime Minister of Cuba comrade Fidel Castro rare interview conducted in English

On April 19, 1959, Fidel Castro appeared on “Meet the Press” for his first visit to the United States since the Cuban revolution, nearly three months earlier. When asked if he was a Communist, he said, “I am not a Communist.
 
KUTOKA MAKTABA:

VIJANA NA MABADILIKO, WAKATI HUU 2025 / 2026 NI SAHIHI KUINGIA KTK NAFASI ZA MAAMUZI IKIWEMO URAIS


Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi, Vijana ni taifa la leo, watoto ndiyo viongozi wa kesho. Kauli za kilaghai kuwa vijana ni kwa ajili ya taifa la kesho siyo sahihi.

Vijana msihofu msuguano na wazee waliopo mamlakani, kusubiri kupewa ni kukubali kuwa tumejumuishwa na watoto chipukizi. Ni wakati wa vijana kuchagiza kwa mbinyo wa hoja kuwa uongozi wa nchi ni kwa ajili ya vijana.

Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa bunduki au maandamano ya kuondoa wakoloni, baadaye kulifuatia msuguano wa wananchi wenyewe kwa wenyewe kwa kutoridhishwa na wale waliochukua utawala toka kwa wakoloni.

Sababu mbalimbali zilizua msuguano ktk nchi huru kama udiktekta, tawala kamdamizi ya chama kimoja kongwe, utawala mbovu, ubaguzi wa kielimu mfano mtoto aliyesoma shule za kata / st. Kayumba anadanganywa kuwa akihitimu chuo kikuu atakuwa na nafasi sawa na mwenzake aliyesoma St. Mary's akamaliza elimu ya chuo kikuu pia anayekimanya kiingereza vizuri zaidi na wajomba wake wapo ktk nafasi za kiutawala n.k

Hapo ndipo Wanafunzi waliopo ktk nchi kama Sudan, Chile, Cuba, Afrika ya Kusini, Kenya walishiriki kudai mageuzi ili kuondokana na tawala zilizomgoa mkoloni.

Tanzania vijana hawajishughulishi kuhoji mambo yasiyowaridhisha wananchi kama bandari kuchukuliwa kuwa vituo vya nchi ngeni, matumizi mabaya ya kodi za wananchi, tozo zilizokifu wananchi, demokrasia kubinywa, katiba kandamizi n.k

Huko Chile marekani ya kusini nchi iliyo viongozi wa vyama vya wanafunzi wenye kushiriki kikamilifu katika siasa pia maandamano imewezesha kiongozi kijana wa wanafunzi Gabriel Boric ambaye ndiye rais kijana kabisa wa kuchaguliwa amezaliwa 11 February 1986 ambaye alichukua madaraka ya urais tarehe 11 March 2022 baada ya kushinda uchaguzi mkuu nchini Chile tarehe 19 December 2021 kwa kupata asilimia 60% ktk uchaguzi wa urais.

Gabriel Boric on the Chilean student movement 14 June 2017

Gabriel Boric on the Chilean Student Movement:
59,554Views :2017 14 Jun
In a presentation at the School of Public Policy on June 7, 2017; Gabriel Boric offers a historical perspective and reflects on lessons learned. He focuses especially on the role of social movements in a well-developed democracy and provides insights on how to sustain collective action over an extended period of time. He speaks also about his transition from being a member of a political movement to being a member of Parliament. Gabriel Boric is a Chilean parliamentarian, and a former leader of the national student movement. He was the president of the Student Federation of the Universidad de Chile, one of the most important student unions in the country. Boric currently represents the Magallanes and Antarctic Region in Chile’s Chamber of Deputies. He was elected as an independent candidate and is not associated with either one of the two political coalitions that have traditionally dominated politics in Chile. Source:

Department of Public Policy at CEU​

Mwanafunzi wa chuo kikuu Tanzania toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa anaimani na matumaini potofu ya Ilani ya CCM imeandika ahadi ya mambo ya uongo ya kupata ajira, mazingira ruhani kuwa wataweza kupata vyeo vya ulaji vya kisiasa UVCCM, kuwa MNEC Halmashauri Kuu ya CCM, mbunge wa CCM n.k au kuwepo mazingira (hewa) ya kujiajiri.

VIJANA NI WAKATI WA KUACHA KUTEGEMEA CHAMA DOLA KONGWE


Picha maktaba : Vijana chawa wa Vyuo vya elimu ya juu Tanzania.

Vijana vyuo vikuu na mijini pia vijijini badala ya kumezwa na ukiritimba wa UVCCM na ahadi kuwa ni viongozi wa kesho huku watoto wa vigogo wa CCM wanapewa nafasi sasa na siyo kesho wanatakiwa kuunda chombo chao kipya cha kutambulika kama mdau muhimu anayehitaji kuonekana katika majukwaa ya siasa pia ktk vituo vya redio, televisheni na mitandao ya kijamii kuchagiza mabadiliko na mageuzi ikiwemo pia kupewa nafasi nje ya mfumo wa vyama ili wagombee nafasi za kuchaguliwa na wananchi.

VIJANA KULE CHILE BARA LA LATINO AMERIKA WAMEWEZA

Gabriel Boric - The 100 Most Influential People of 2022 - TIME​

time.com › collection › gabriel-boric

gabriel boric presidente from time.com
23 May 2022 · He is making Chile the social, economic, and political laboratory of the world once again. Stiglitz is a Nobel Prize–winning economist
 
Kaahidi kuunda wizara maalum na yeye kuwa na washaurj kuhusu vijana. 🤣🤣🤣🤣 sijui nani kamdanganya kudhani itapunguza tension za vijana.

Yule ndejembi sijui alikuwa anafanya nini na wengine waliopita wizara hiyo.
Yaan nilicheka had Co poaa!! Hivi hana washauri huyu mama jamani?
 
Walichofanya Vijana wa Gen Z ni SAHIHI kabisa hata mbele ya Mungu, wamechochea kasi ya Upatikanaji wa Katiba Bora, Tume Huru ya Uchaguzi..Kukomesha UTEKAJI..shida ni kwamba Askari wako walitumia nguvu kubwa unnecessary..Wachukuliwe hatua kali za kisheria
 
Rais gani anayeongoza serekali ya watekaji?. Hivi huyu angechorwa kama Mwinyi si angeua wanafunzi na kuchoma chuo huyu.
 
Kuwatoa ndani vijana na kurisha wapigwe risasi Leo hii bila aibu unadai utawapa kipaumbele siku zote ulikua wapi, haya mlio wapa ulemavu watazifanyia nini hizo hela, wait a day is coming bibi netanyahu
 
Kuwatoa ndani vijana na kuamrisha wapigwe risasi Leo hii bila aibu unadai utawapa kipaumbele siku zote ulikua wapi, haya mlio wapa ulemavu watazifanyia nini hizo hela, wait a day is coming bibi n
 
Ila Samia anazidi kuongezea watu hasira tu, kwahiyo wazazi wao walitoa polisi nje kuua watoto wao?

Ndio anahalalisha yaliyotokea kwa kusema mkubwa hakosei?

Rais Samia kasema kama wao wazazi wangefanya waliyofanya vijana (maandamano) basi nchi hii isingekuwa na neema.

Amewaambia vijana wasikate tawi walilokalia!
Vijana walikuwa na haki ya kuandamana, lakini hawana haki la kuharibu mali za watu binafsi na mali za umma.

Serikali ina wajibu wa kulinda amani lakini kutumia risasi za moto kuua watu hovyo sio moja ya njia za kulinda amani bali ni njia za kuleta zaidi matatizo kwenye jamii
 
Vijana walikuwa na haki ya kuandamana, lakini hawana haki la kuharibu mali za watu binafsi na mali za umma.

Serikali ina wajibu wa kulinda amani lakini kutumia risasi za moto kuua watu hovyo sio moja ya njia za kulinda amani bali ni njia za kuleta zaidi matatizo kwenye jamii
We kichwa box serikali Ina haki ya kuteka na kuua vifo vya kutisha sio
 
Ila Samia anazidi kuongezea watu hasira tu, kwahiyo wazazi wao walitoa polisi nje kuua watoto wao?

Ndio anahalalisha yaliyotokea kwa kusema mkubwa hakosei?

Rais Samia kasema kama wao wazazi wangefanya waliyofanya vijana (maandamano) basi nchi hii isingekuwa na neema.

Amewaambia vijana wasikate tawi walilokalia!
Huyo paka ipo siku atakalia mkuki
 
Back
Top Bottom