Rais Samia Songa mbele Mama, kuongoza Watanzania inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu maana ni vigeugeu

Unaunga mkono nini hasa? Kwanini hutaji unachokisema kinamyumbisha huyo unayemwita mama?
hawa watu ni wapumbavu sana, hii dhana au psychological mindset ya kuwafananisha viongozi na wazaz ndio inawafanya washindwe kuwawajibisha kwa sababu ya parent mentality inayotawala ubongo na akili.
kinachotuhusianisha na Samia Suluhu Hassan ni Leadership and Suject sijui kama ni lugha sahihi.
tunsema siku zote mzazi hakosei na hatuna moral authority ya kumkosoa mzazi awe bab awe mama,

Tunapokuja kuwafananisha watu waliotuomba dhamana ya uongozi na tukawapa ili watutumikie tkawafananisha na wazazi wetu inatufanya tushindwe kuwawajibisha na kuwahoji wanapokosea. Samia is never our mother she is our president and we hold her accountable sababu ni Rais sio mama. Yeye ni mama kwa watoto wake.

ujamaa huu ndio unatufanya tubakie tulipo.
 
Naunga mkono hoja
P
Unaunga mkono ujinga P, kilichoandikwa hapo ni ngojera mana huyu mjinga ndio katika nyuzi zake mathalani uzi wa july 18,2023 ameandika kuwa mama anapendwa sana mitaani na mamilioni ya watanzania, uzi wa juni 27, 2023 eti HOTUBA ZA MAMA HUFUATILIWA SANA NA WATANZANIA, ukiuona anakuja tena na uzi kwamba wamemgeuka mama na anampa tahadhari maanake huyo kiongozi ni inconsistency na mwandishi hajua anataka au anashauri nini. Unamwandikia mtu kumpamba na kumwaminisha siku zote then ghafla unaanza kumtahadharisha na kumwabia wale watu wanaokuaminini usiwaamini tena. Pathetic. Pacal usijishushe hadhi wewe ni msomi na unaelewa falsafa iliyopo katika maandiko ya mtu. Lucasi ni mpumbavu
 
Unaunga mkono ujinga P, kilichoandikwa hapo ni ngojera mana huyu mjinga ndio katika nyuzi zake Pathetic. Pacal usijishushe hadhi wewe ni msomi na unaelewa falsafa iliyopo katika maandiko ya mtu. Lucasi ni mpumbavu
Mkuu DolphinT , naomba tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama haukubaliani nayo, usimtukane mtu kuwa ni mjinga au mpumbavu na alichoandika ni ujinga kwasababu tu ya kutoa mawazo usiyokubaliana nayo!.

Tuheshimu mawazo ya wengine, tuwavumilie.
P
 
Mawazo ya kijinga yakiendelea kuheshimiwa yatawafanya watu wpate elimu ujinga kwa kuyaona kuwa ni sahihi au yanafaa, ujinga ni lazima usahihishwe ili kesho mtu asiandike au kusema ujinga tena. yani jana useme hii ni 1 leo useme hapana ile ni I kesho useme hapana nilimaanisha zote zinafanan bado tukubaliane? ya kwanza tutasema sawa ukija ya pili tutasema umekosea na ukija ya tatu tusema huu ni ujinga, ukishupaza shingo tutsema huu ni upumbavu na sio ujinga kidogo. Binadamu sio wanyama kuna viwango vya mwisho vya kuvumilia.
 
Nakuunga mkono ila asahihishe swala la DP World, litamlemea!
 
Nitaanza je kukujibu ilihali hujasoma kilichoandikwa? Si nitakuwa akili sawa na wewe tu ? Tofauti yako na mtu mtu asiyejitambua itakuwa ni ipi ikiwa unaweza ukailiza swali na kutaka majibu pasipo kusoma? Wala kusikiliza?
 
Naona mdomo na kinywa chako kinawaza matusi tu .ndio maana huwezi kujenga hoja wala kuelewa hoja kwa kuwa akili yako imefifishwa na chuki na mtizamo hasi.
 
Haitaji roho ngumu kuongoza wa Tanzania, ni sheria na taratibu zifuatwe, mkataba wa, bandari upo hapa nchini tangu mwenzi wa 8 mwaka Jana, ukaperekwa bungeni fasta fasta, kulidhiwa, harafu unaita watu wa toe maoni kwa saa 24! Tu, kwanini haukuqekwa wazi, tangu mwaka Jana? Ili, upitiwe, maoni, yakusanywe, ndio upelekwe bungeni? Na, bungeni tinajua uamuzi, ni mmoja tu, kupitisha, anayewaza tofauti, atakuwa,na tatizo LA afya ya, akili, wabunge wote wapo pale kwa Hhisani ya ccm, bila ccm hawapati ulaji wao! Walifikishwa, bungeni kimagumashi!
 
Wabunge wapo bungeni kutokana na kura za wananchi waliowachagua kutokana na imani kubwa waliyonayo kwa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…