Rais Samia Songa mbele Mama, kuongoza Watanzania inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu maana ni vigeugeu

Unaunga mkono nini hasa? Kwanini hutaji unachokisema kinamyumbisha huyo unayemwita mama?
hawa watu ni wapumbavu sana, hii dhana au psychological mindset ya kuwafananisha viongozi na wazaz ndio inawafanya washindwe kuwawajibisha kwa sababu ya parent mentality inayotawala ubongo na akili.
kinachotuhusianisha na Samia Suluhu Hassan ni Leadership and Suject sijui kama ni lugha sahihi.
tunsema siku zote mzazi hakosei na hatuna moral authority ya kumkosoa mzazi awe bab awe mama,

Tunapokuja kuwafananisha watu waliotuomba dhamana ya uongozi na tukawapa ili watutumikie tkawafananisha na wazazi wetu inatufanya tushindwe kuwawajibisha na kuwahoji wanapokosea. Samia is never our mother she is our president and we hold her accountable sababu ni Rais sio mama. Yeye ni mama kwa watoto wake.

ujamaa huu ndio unatufanya tubakie tulipo.
 
Naunga mkono hoja
P
Unaunga mkono ujinga P, kilichoandikwa hapo ni ngojera mana huyu mjinga ndio katika nyuzi zake mathalani uzi wa july 18,2023 ameandika kuwa mama anapendwa sana mitaani na mamilioni ya watanzania, uzi wa juni 27, 2023 eti HOTUBA ZA MAMA HUFUATILIWA SANA NA WATANZANIA, ukiuona anakuja tena na uzi kwamba wamemgeuka mama na anampa tahadhari maanake huyo kiongozi ni inconsistency na mwandishi hajua anataka au anashauri nini. Unamwandikia mtu kumpamba na kumwaminisha siku zote then ghafla unaanza kumtahadharisha na kumwabia wale watu wanaokuaminini usiwaamini tena. Pathetic. Pacal usijishushe hadhi wewe ni msomi na unaelewa falsafa iliyopo katika maandiko ya mtu. Lucasi ni mpumbavu
 
Unaunga mkono ujinga P, kilichoandikwa hapo ni ngojera mana huyu mjinga ndio katika nyuzi zake Pathetic. Pacal usijishushe hadhi wewe ni msomi na unaelewa falsafa iliyopo katika maandiko ya mtu. Lucasi ni mpumbavu
Mkuu DolphinT , naomba tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama haukubaliani nayo, usimtukane mtu kuwa ni mjinga au mpumbavu na alichoandika ni ujinga kwasababu tu ya kutoa mawazo usiyokubaliana nayo!.

Tuheshimu mawazo ya wengine, tuwavumilie.

Mawazo ya kijinga yakiendelea kuheshimiwa yatawafanya watu wpate elimu ujinga kwa kuyaona kuwa ni sahihi au yanafaa, ujinga ni lazima usahihishwe ili kesho mtu asiandike au kusema ujinga tena. yani jana useme hii ni 1 leo useme hapana ile ni I kesho useme hapana nilimaanisha zote zinafanan bado tukubaliane? ya kwanza tutasema sawa ukija ya pili tutasema umekosea na ukija ya tatu tusema huu ni ujinga, ukishupaza shingo tutsema huu ni upumbavu na sio ujinga kidogo. Binadamu sio wanyama kuna viwango vya mwisho vya kuvumilia.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi kwa kusukumwa na kuvizia vizia,. watanzania haturidhiki wala kuwa na shukurani hata pale tunapotendewa mema.

Chukua dakika moja kufikiri ni kiongozi yupi wa ngazi ya urais ambaye wakati wa utawala wake hakulaumiwa, kutukanwa, kusingiziwa, Kumchonganisha na wananchi,kumuombea mabaya ,kumlaani,kumtukana kuanzia utawala na uongozi wa Hayati mwalimu nyerere mpaka mh Dr Mama Samia suluhu Hasssan?ni yupi ambaye hakuitwa Dikteta? Yupi ambaye hakuambiwa ana mipango mibovu ya uchumi? Yupi ambaye hakuambiwa amalize haraka miaka yake madarakani ili akalee na kucheza na wajukuu zake? Yupi ambaye hakuambiwa anawafukarisha watanzania?

Ni watanzania wangapi kwa masikio yenu watanzania wenzangu wazalendo mmesikia kila utawala mmoja ukipita huanza kukumbukwa ukilinganishwa na unaokuwepo wakati huo? Ilikuwa hivyo wakati wa mwinyi watu wakasema bora mwalimu nyerere arejee madarakani,ikawa hivyo wakati wa hayati Benjamin mkapa ambapo watu wakasema bora mwinyi kuliko mkapa, ikaendelea hivyo kwa mh mzee wangu Dr Jakaya mrisho Kikwete ambapo watu wakasema bora Benjamini mkapa mambo yalikuwa sawa,ikaja kwa Hayati Mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli watu wakalalama na kulaani na kusema bora Mh Dr Jakaya Kikwete mambo yalikuwa safii na sasa Tupo na mama yetu kipenzi shujaa wa Afrika Nembo ya Tanzania na Nuru ya wanyonge mama samia suluhu Hasssan ,watu wale wale waliompinga kwa nguvu zao zote, kwa matusi, kejeri, dharau, dhihaka, hila, udhalilishaji na chuki sasa wameanza kumshambulia mama yetu na kusema bora Hayati Magufuli.

Midomo ile ile iliyotanuka kama ya akina Tundu lissu kumtukana Hayati magufuli ndani na nje ya mipaka ya Tanzania ,sasa wanamuona shujaa wakati walimuua kimaneno na kimaombi akiwa angali bado hai.Hii maana yake nini? Jibu ni kuwa sisi watanzania ni wanafiki wa kiwango cha juu sana,ni vigeugeu sana na tunaohitaji kiongozi mwenye moyo wa chuma asiye tazama nyuma wala kujali makelele na aliyeamua kuziba masikio kama alivyosema mama yetu kipenzi mama samia alipokuwa jijini Arusha, watanzania ukiwasikiliza sana lazima ukwame tu,lazima uyumbe kiuongozi,lazima upoteze dira na muelekeo wako,lazima uchelewe kuwafikisha nchi ya asali na maziwa ,lazima ujute kuwafahamu,lazima usosononeke moyoni mwako,lazima uwe na mawazo mengi ya nini ufanye kuwaridhisha watanzania,kwa kuwa watanzania hawaridhiki wala kutosheka,inabidi wakati mwingine uwaswage kwenda mbele na ukiwafikisha ng'ambo ya pili ya mto ndio watajuwa kuwa dhamira yako ilikuwa njema.

Mama yangu na Rais wangu mama samia Songa mbele kwa kishindo,usitazame nyuma wala kugeuka,kama ulivyotuasa kutazama mbele kwa matumaini badala ya hofu ya kupasa nawe kutazama mahali ulipodhamilia kuwafikisha watanzania kimaendeleo pasipo kujali maneno yao,acha waongee wewe chapa kazi na Songa mbele tuu, Tembea na dira yako,tazama Malengo yako na mtangulize Mungu wetu aliye hai katika shughuli na majukumu yako yote ya Urais maana siyo wote wanaofurahia mafanikio yako japo wanaweza kuwa katikati yako kati ya wale unaowaamini na kuwasikiliza,wapo wanaosubiri na kutamani kuona anguko lako ,lakini nakupa imani kuwa Mungu Aliyekuinua kiuongozi yupo upande wako na upande wa Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Nakuunga mkono ila asahihishe swala la DP World, litamlemea!
 
SIJASOMA HUO UGHANI WAKO ila ninaweza kukuuliza wewe si ndio unasmea kila siku unaandika :Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Sasa iweje leo wawe vigeo geu? akili huna wewe dubwi
Nitaanza je kukujibu ilihali hujasoma kilichoandikwa? Si nitakuwa akili sawa na wewe tu ? Tofauti yako na mtu mtu asiyejitambua itakuwa ni ipi ikiwa unaweza ukailiza swali na kutaka majibu pasipo kusoma? Wala kusikiliza?
 
Unaunga mkono ujinga P, kilichoandikwa hapo ni ngojera mana huyu mjinga ndio katika nyuzi zake mathalani uzi wa july 18,2023 ameandika kuwa mama anapendwa sana mitaani na mamilioni ya watanzania, uzi wa juni 27, 2023 eti HOTUBA ZA MAMA HUFUATILIWA SANA NA WATANZANIA, ukiuona anakuja tena na uzi kwamba wamemgeuka mama na anampa tahadhari maanake huyo kiongozi ni inconsistency na mwandishi hajua anataka au anashauri nini. Unamwandikia mtu kumpamba na kumwaminisha siku zote then ghafla unaanza kumtahadharisha na kumwabia wale watu wanaokuaminini usiwaamini tena. Pathetic. Pacal usijishushe hadhi wewe ni msomi na unaelewa falsafa iliyopo katika maandiko ya mtu. Lucasi ni mpumbavu
Naona mdomo na kinywa chako kinawaza matusi tu .ndio maana huwezi kujenga hoja wala kuelewa hoja kwa kuwa akili yako imefifishwa na chuki na mtizamo hasi.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi kwa kusukumwa na kuvizia vizia,. watanzania haturidhiki wala kuwa na shukurani hata pale tunapotendewa mema.

Chukua dakika moja kufikiri ni kiongozi yupi wa ngazi ya urais ambaye wakati wa utawala wake hakulaumiwa, kutukanwa, kusingiziwa, Kumchonganisha na wananchi,kumuombea mabaya ,kumlaani,kumtukana kuanzia utawala na uongozi wa Hayati mwalimu nyerere mpaka mh Dr Mama Samia suluhu Hasssan?ni yupi ambaye hakuitwa Dikteta? Yupi ambaye hakuambiwa ana mipango mibovu ya uchumi? Yupi ambaye hakuambiwa amalize haraka miaka yake madarakani ili akalee na kucheza na wajukuu zake? Yupi ambaye hakuambiwa anawafukarisha watanzania?

Ni watanzania wangapi kwa masikio yenu watanzania wenzangu wazalendo mmesikia kila utawala mmoja ukipita huanza kukumbukwa ukilinganishwa na unaokuwepo wakati huo? Ilikuwa hivyo wakati wa mwinyi watu wakasema bora mwalimu nyerere arejee madarakani,ikawa hivyo wakati wa hayati Benjamin mkapa ambapo watu wakasema bora mwinyi kuliko mkapa, ikaendelea hivyo kwa mh mzee wangu Dr Jakaya mrisho Kikwete ambapo watu wakasema bora Benjamini mkapa mambo yalikuwa sawa,ikaja kwa Hayati Mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli watu wakalalama na kulaani na kusema bora Mh Dr Jakaya Kikwete mambo yalikuwa safii na sasa Tupo na mama yetu kipenzi shujaa wa Afrika Nembo ya Tanzania na Nuru ya wanyonge mama samia suluhu Hasssan ,watu wale wale waliompinga kwa nguvu zao zote, kwa matusi, kejeri, dharau, dhihaka, hila, udhalilishaji na chuki sasa wameanza kumshambulia mama yetu na kusema bora Hayati Magufuli.

Midomo ile ile iliyotanuka kama ya akina Tundu lissu kumtukana Hayati magufuli ndani na nje ya mipaka ya Tanzania ,sasa wanamuona shujaa wakati walimuua kimaneno na kimaombi akiwa angali bado hai.Hii maana yake nini? Jibu ni kuwa sisi watanzania ni wanafiki wa kiwango cha juu sana,ni vigeugeu sana na tunaohitaji kiongozi mwenye moyo wa chuma asiye tazama nyuma wala kujali makelele na aliyeamua kuziba masikio kama alivyosema mama yetu kipenzi mama samia alipokuwa jijini Arusha, watanzania ukiwasikiliza sana lazima ukwame tu,lazima uyumbe kiuongozi,lazima upoteze dira na muelekeo wako,lazima uchelewe kuwafikisha nchi ya asali na maziwa ,lazima ujute kuwafahamu,lazima usosononeke moyoni mwako,lazima uwe na mawazo mengi ya nini ufanye kuwaridhisha watanzania,kwa kuwa watanzania hawaridhiki wala kutosheka,inabidi wakati mwingine uwaswage kwenda mbele na ukiwafikisha ng'ambo ya pili ya mto ndio watajuwa kuwa dhamira yako ilikuwa njema.

Mama yangu na Rais wangu mama samia Songa mbele kwa kishindo,usitazame nyuma wala kugeuka,kama ulivyotuasa kutazama mbele kwa matumaini badala ya hofu ya kupasa nawe kutazama mahali ulipodhamilia kuwafikisha watanzania kimaendeleo pasipo kujali maneno yao,acha waongee wewe chapa kazi na Songa mbele tuu, Tembea na dira yako,tazama Malengo yako na mtangulize Mungu wetu aliye hai katika shughuli na majukumu yako yote ya Urais maana siyo wote wanaofurahia mafanikio yako japo wanaweza kuwa katikati yako kati ya wale unaowaamini na kuwasikiliza,wapo wanaosubiri na kutamani kuona anguko lako ,lakini nakupa imani kuwa Mungu Aliyekuinua kiuongozi yupo upande wako na upande wa Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Haitaji roho ngumu kuongoza wa Tanzania, ni sheria na taratibu zifuatwe, mkataba wa, bandari upo hapa nchini tangu mwenzi wa 8 mwaka Jana, ukaperekwa bungeni fasta fasta, kulidhiwa, harafu unaita watu wa toe maoni kwa saa 24! Tu, kwanini haukuqekwa wazi, tangu mwaka Jana? Ili, upitiwe, maoni, yakusanywe, ndio upelekwe bungeni? Na, bungeni tinajua uamuzi, ni mmoja tu, kupitisha, anayewaza tofauti, atakuwa,na tatizo LA afya ya, akili, wabunge wote wapo pale kwa Hhisani ya ccm, bila ccm hawapati ulaji wao! Walifikishwa, bungeni kimagumashi!
 
Wabunge wapo bungeni kutokana na kura za wananchi waliowachagua kutokana na imani kubwa waliyonayo kwa CCM
 
Back
Top Bottom