Rais Samia Songa mbele Mama, kuongoza Watanzania inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu maana ni vigeugeu

Bahati nzuri sijawahi kusoma nyuzi zako. Vichwa vya uzi tu ni upuuzi mtupu.
Wewe kaka ungejaribu kupunguza shobo, jinsi unavyomuabudu huyo binadamu.
Namba ya simu haitoshi, weka picha yako tuone upachikwe kitengo gani. Nyo nyo nyo nyo
Acha uzembe soma kwanza kisha ndo uhukumu.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi kwa kusukumwa na kuvizia vizia,. watanzania haturidhiki wala kuwa na shukurani hata pale tunapotendewa mema.

Chukua dakika moja kufikiri ni kiongozi yupi wa ngazi ya urais ambaye wakati wa utawala wake hakulaumiwa, kutukanwa, kusingiziwa, Kumchonganisha na wananchi,kumuombea mabaya ,kumlaani,kumtukana kuanzia utawala na uongozi wa Hayati mwalimu nyerere mpaka mh Dr Mama Samia suluhu Hasssan?ni yupi ambaye hakuitwa Dikteta? Yupi ambaye hakuambiwa ana mipango mibovu ya uchumi? Yupi ambaye hakuambiwa amalize haraka miaka yake madarakani ili akalee na kucheza na wajukuu zake? Yupi ambaye hakuambiwa anawafukarisha watanzania?

Ni watanzania wangapi kwa masikio yenu watanzania wenzangu wazalendo mmesikia kila utawala mmoja ukipita huanza kukumbukwa ukilinganishwa na unaokuwepo wakati huo? Ilikuwa hivyo wakati wa mwinyi watu wakasema bora mwalimu nyerere arejee madarakani,ikawa hivyo wakati wa hayati Benjamin mkapa ambapo watu wakasema bora mwinyi kuliko mkapa, ikaendelea hivyo kwa mh mzee wangu Dr Jakaya mrisho Kikwete ambapo watu wakasema bora Benjamini mkapa mambo yalikuwa sawa,ikaja kwa Hayati Mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli watu wakalalama na kulaani na kusema bora Mh Dr Jakaya Kikwete mambo yalikuwa safii na sasa Tupo na mama yetu kipenzi shujaa wa Afrika Nembo ya Tanzania na Nuru ya wanyonge mama samia suluhu Hasssan ,watu wale wale waliompinga kwa nguvu zao zote, kwa matusi, kejeri, dharau, dhihaka, hila, udhalilishaji na chuki sasa wameanza kumshambulia mama yetu na kusema bora Hayati Magufuli.

Midomo ile ile iliyotanuka kama ya akina Tundu lissu kumtukana Hayati magufuli ndani na nje ya mipaka ya Tanzania ,sasa wanamuona shujaa wakati walimuua kimaneno na kimaombi akiwa angali bado hai.Hii maana yake nini? Jibu ni kuwa sisi watanzania ni wanafiki wa kiwango cha juu sana,ni vigeugeu sana na tunaohitaji kiongozi mwenye moyo wa chuma asiye tazama nyuma wala kujali makelele na aliyeamua kuziba masikio kama alivyosema mama yetu kipenzi mama samia alipokuwa jijini Arusha, watanzania ukiwasikiliza sana lazima ukwame tu,lazima uyumbe kiuongozi,lazima upoteze dira na muelekeo wako,lazima uchelewe kuwafikisha nchi ya asali na maziwa ,lazima ujute kuwafahamu,lazima usosononeke moyoni mwako,lazima uwe na mawazo mengi ya nini ufanye kuwaridhisha watanzania,kwa kuwa watanzania hawaridhiki wala kutosheka,inabidi wakati mwingine uwaswage kwenda mbele na ukiwafikisha ng'ambo ya pili ya mto ndio watajuwa kuwa dhamira yako ilikuwa njema.

Mama yangu na Rais wangu mama samia Songa mbele kwa kishindo,usitazame nyuma wala kugeuka,kama ulivyotuasa kutazama mbele kwa matumaini badala ya hofu ya kupasa nawe kutazama mahali ulipodhamilia kuwafikisha watanzania kimaendeleo pasipo kujali maneno yao,acha waongee wewe chapa kazi na Songa mbele tuu, Tembea na dira yako,tazama Malengo yako na mtangulize Mungu wetu aliye hai katika shughuli na majukumu yako yote ya Urais maana siyo wote wanaofurahia mafanikio yako japo wanaweza kuwa katikati yako kati ya wale unaowaamini na kuwasikiliza,wapo wanaosubiri na kutamani kuona anguko lako ,lakini nakupa imani kuwa Mungu Aliyekuinua kiuongozi yupo upande wako na upande wa Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
UTEUZI UNAWINDWA HAPA. WABONGO BWANA KAMA ALIVYOJISEMA MWENYEWE NI WANAFIKI. SHIDA RAIS KWA MUJIBU WA KATIBA YETU NDIYO KILA KITU. UKITAKA MAMBO YAKUNYOOKEE JIZOEZE KUWA MJASIRIASIASA KAMA HUYU NDUGU MWASHAMBWA. MSIFU NA KUMWINUA SAANA RAIS, TENA KATIKATI YA MALUMBANO HAYA YA BANDARI, UKABAHATIKA MAMA AKAIONA MAKALA YAKO TU, ... UMEUKATA!
NDUGU KUMBUKA RAIS SIYO MFALME BALI NI MTUMISHI WA WANANCHI. AMEAJIRIWA NA WANANCHI. LAZIMA AKUBALI KUKOSOLEWA NA WAAJIRI WAKE WANANCHI. KAMA KWA HILI LA BANDARI, LAZIMA AKUBALI KUNYOOSHEWA VIDOLE. HATA HIVYO TUNAMSHUKURU BWANA YESU KRISTO WABONGO BADO WAUNGWANA. NCHI NYINGINE PANGEKUWA HAPATOSHI. NDUGU MWASHAMBWA, KWA MFANO SUALA HILI LA BANDARI, UJUE KWA SASA HAKUNA SIRI KIHIVYO. WAPO WATUMISHI WAANDAMIZI WAKUBWA KABISA SERIKALINI WAADILIFU WALIOKWISHA CHOSHWA (NA JINSI MAMBO MACHAFU YANAVYOENDELEA KUFANYWA NA BAADHI YA WENZAO WACHACHE) NA HAWANA PA KUSEMEA HIVYO WANAVUJISHA SIRI KWA AKINA LISSU, DR. SLAA, ASKOFU MWAMAKULA, N.K. NAO WANAMWAGA MBOGA NA UGALI HADHARANI. JE, HUKUMSIKIA YULE ASKOFU AKISEMA KWA KUJIAMINI KABISA KWAMBA WANA TAARIFA ZOOTE JUU YA KILA KITU KINACHOENDELEA WANAPATIWA NA WASHIRIKA WA MAKANISA YAO WALIO SERIKALINI. HALI SI SHWARI KAMA UNAVYOWEZA FIKIRIA LABDA NAWE UWE NI MMOJA WANAOFAIDIKA NA MFUMO HUU WA SERIKALI ULIOANGUKA.
NI HAYO TU NDUGU MWASHAMBWA.
 
Sijui mwalimu nani alikufundisha kuandika miherufi mikubwa utafikiri unaandikia vipofu?
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi kwa kusukumwa na kuvizia vizia,. watanzania haturidhiki wala kuwa na shukurani hata pale tunapotendewa mema.

Chukua dakika moja kufikiri ni kiongozi yupi wa ngazi ya urais ambaye wakati wa utawala wake hakulaumiwa, kutukanwa, kusingiziwa, Kumchonganisha na wananchi,kumuombea mabaya ,kumlaani,kumtukana kuanzia utawala na uongozi wa Hayati mwalimu nyerere mpaka mh Dr Mama Samia suluhu Hasssan?ni yupi ambaye hakuitwa Dikteta? Yupi ambaye hakuambiwa ana mipango mibovu ya uchumi? Yupi ambaye hakuambiwa amalize haraka miaka yake madarakani ili akalee na kucheza na wajukuu zake? Yupi ambaye hakuambiwa anawafukarisha watanzania?

Ni watanzania wangapi kwa masikio yenu watanzania wenzangu wazalendo mmesikia kila utawala mmoja ukipita huanza kukumbukwa ukilinganishwa na unaokuwepo wakati huo? Ilikuwa hivyo wakati wa mwinyi watu wakasema bora mwalimu nyerere arejee madarakani,ikawa hivyo wakati wa hayati Benjamin mkapa ambapo watu wakasema bora mwinyi kuliko mkapa, ikaendelea hivyo kwa mh mzee wangu Dr Jakaya mrisho Kikwete ambapo watu wakasema bora Benjamini mkapa mambo yalikuwa sawa,ikaja kwa Hayati Mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli watu wakalalama na kulaani na kusema bora Mh Dr Jakaya Kikwete mambo yalikuwa safii na sasa Tupo na mama yetu kipenzi shujaa wa Afrika Nembo ya Tanzania na Nuru ya wanyonge mama samia suluhu Hasssan ,watu wale wale waliompinga kwa nguvu zao zote, kwa matusi, kejeri, dharau, dhihaka, hila, udhalilishaji na chuki sasa wameanza kumshambulia mama yetu na kusema bora Hayati Magufuli.

Midomo ile ile iliyotanuka kama ya akina Tundu lissu kumtukana Hayati magufuli ndani na nje ya mipaka ya Tanzania ,sasa wanamuona shujaa wakati walimuua kimaneno na kimaombi akiwa angali bado hai.Hii maana yake nini? Jibu ni kuwa sisi watanzania ni wanafiki wa kiwango cha juu sana,ni vigeugeu sana na tunaohitaji kiongozi mwenye moyo wa chuma asiye tazama nyuma wala kujali makelele na aliyeamua kuziba masikio kama alivyosema mama yetu kipenzi mama samia alipokuwa jijini Arusha, watanzania ukiwasikiliza sana lazima ukwame tu,lazima uyumbe kiuongozi,lazima upoteze dira na muelekeo wako,lazima uchelewe kuwafikisha nchi ya asali na maziwa ,lazima ujute kuwafahamu,lazima usosononeke moyoni mwako,lazima uwe na mawazo mengi ya nini ufanye kuwaridhisha watanzania,kwa kuwa watanzania hawaridhiki wala kutosheka,inabidi wakati mwingine uwaswage kwenda mbele na ukiwafikisha ng'ambo ya pili ya mto ndio watajuwa kuwa dhamira yako ilikuwa njema.

Mama yangu na Rais wangu mama samia Songa mbele kwa kishindo,usitazame nyuma wala kugeuka,kama ulivyotuasa kutazama mbele kwa matumaini badala ya hofu ya kupasa nawe kutazama mahali ulipodhamilia kuwafikisha watanzania kimaendeleo pasipo kujali maneno yao,acha waongee wewe chapa kazi na Songa mbele tuu, Tembea na dira yako,tazama Malengo yako na mtangulize Mungu wetu aliye hai katika shughuli na majukumu yako yote ya Urais maana siyo wote wanaofurahia mafanikio yako japo wanaweza kuwa katikati yako kati ya wale unaowaamini na kuwasikiliza,wapo wanaosubiri na kutamani kuona anguko lako ,lakini nakupa imani kuwa Mungu Aliyekuinua kiuongozi yupo upande wako na upande wa Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kilichonifanya nisome bandiko lako hadi mwisho ni kuangalia Namba Zako za simu kama umeweka.

Hongera mkuu,,
Hienda ukapata uteuzi.
 
JPM ataendelea kukumbukwa. Hama nchi
 
SIJASOMA HUO UGHANI WAKO ila ninaweza kukuuliza wewe si ndio unasmea kila siku unaandika :Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Sasa iweje leo wawe vigeo geu? akili huna wewe dubwi
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi kwa kusukumwa na kuvizia vizia,. watanzania haturidhiki wala kuwa na shukurani hata pale tunapotendewa mema.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom