Rais Samia, suala la Machinga kuwa nalo makini. Usije ukajichanganya

Nipo na Mama Samia, hao wamachinga watolewe. Wanachafua Sana mji.
Mama Samia watoe Hawa wamachinga haraka, mji upo Kama dampo
Hili swala ni complicated sana. Nadhani mtoa mada kaeleza vizuri sana. Machinga siyo jeshi dogo, ni jeshi kubwa kweli kweli.

Inawezekana Rais kaamua kujitoa mhanga. Athari yake ni kubwa sana, kisiasa, ki usalama na kiuchumi. Utekelezaji wake lazima uwe wa akili ya kiwango cha juu
 
Ndugu Rais,

Hili suala la wamachinga ni very sensitive nakushauri uende nalo kwa busara kubwa sana.

Nadhani uliona maelfu ya waliotoka mabarabarani kumlilia Magufuli, naweza kusema probably kuwa zaidi ya 70% ni Wamachinga.

Hili ni jeshi kubwa sana ambalo ukilizingua litakuzingua kweli.

Pamoja na mapungufu mengi tu ya mtangulizi wako katika masuala ya uongozi lakini katika vitu alivyotumia akili ni namna ya kudeal na wamachinga. Baada ya mtangulizi wako kugundua kuwa hakubaliki katika cadre ya wasomi na wafanyabiashara wakubwa, aliamua kurudi chini kwenye grassroots na kufanya urafiki na wamachinga. Hawa ndo waliomzika!

Pia tambua kuwa nchi hii ina tatizo kubwa la ajira, shukuru Mungu kuwa kuna namna japo haipendezi ambayo mamilioni ya wananchi wanajipatia riziki yao. Tafadhali usianze kuwadisturb hawa wamachinga, utapata tabu sana kutawala kama kundi hili la mamilioni litakukataa. Na utapata wakati mgumu zaidi wakitokea watu wa kuwasongesha mtaani.

Pia fahamu kuwa kitendo cha kundi hili kuweza kujipatia riziki kulipunguza sana wimbi la ujambazi mitaani. Chondechonde nakuomba Ndugu Samia, usidisturb kabisa kundi hili bali litafutie utaratibu mzuri wa biashara zao bila kuwaswaga ghafla.

Ndugu, Rais ukivunja vibanda vya wamachinga leo, sisi wenye kipato tutakushangilia, lakini kabla hujafanya hilo jiulize hawa wanaopata rizki kutokana na hivyo vibanda wakale wapi?

Ndugu Rais, naongea haya nikiwa mtu ninayependa miji iwe safi kweli, lakini sasa Wenzetu hawa wanahitaji nao mkono kwenda kinywani tufanyeje?

Angalia dissatisfaction isije ikawa kubwa sana mtaani utapata tabu sana kutawala nchi hii.

Ni lazima uendelee kujali watu masikini bila kuumiza Matajiri, Ukiigeuza serikali yako kuwa ya Matajiri na wenye kipato tu bila kuwaangalia walalahoi utafeli

Kuwa Makini sana!

7BBED808-A5B9-4D6A-9097-B18E4C6AA513.jpeg
 
Yaani Magufuli alitumia akili kushughulikia suala la Wamacchinga🖕,tunasafari ndefu saaana!
 
Kuna watu wanataka mama aingie kwwnye mgogoro na wamachinga.

Akifanya hivyo atapelekea social unrest ya kutisha.

Nimkumbushe Rais Samia kuwa Magufuli alikuwa very popular mwaka 2016 mpaka pale alipoanza kuvuruga maisha ya watu kama vile kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara-Mbezi kiuonevu, hapo ndipo alipoanza kupoteza sapoti kubwa aliyokuwa nayo hadi kufikia kutumia njia za kimafia kurudisha sapoti.

Sasa Samia moment yake ya U turn ya kupoteza Uungwaji mkono nchini inaweza kuwa ni namna atakavyodeal na wamachinga. Akitumia miguvu bila akili serikali yake ikachukiwa atajikuta kwenye hali ngumu sana ya kiuongozi nchini!
Mnapochemka ni kudhani Serikali inawaonea watu kila saa
Kimara ile ilikua Road Reserve kisheria tangu miaka ya 60 huko...watu wakavamia

Kama machinga vile....wanavamia ila sasa no wayy...wako sehemu sio rasmi
Urasmi ni wao kupangisha fremu watoke barabarani...mbona hawataki hata kupangisha fremu.?nchi haiwezi kwenda hivyo
 
Ndugu Rais,

Hili suala la wamachinga ni very sensitive nakushauri uende nalo kwa busara kubwa sana.

Nadhani uliona maelfu ya waliotoka mabarabarani kumlilia Magufuli, naweza kusema probably kuwa zaidi ya 70% ni Wamachinga.

Hili ni jeshi kubwa sana ambalo ukilizingua litakuzingua kweli.

Pamoja na mapungufu mengi tu ya mtangulizi wako katika masuala ya uongozi lakini katika vitu alivyotumia akili ni namna ya kudeal na wamachinga. Baada ya mtangulizi wako kugundua kuwa hakubaliki katika cadre ya wasomi na wafanyabiashara wakubwa, aliamua kurudi chini kwenye grassroots na kufanya urafiki na wamachinga. Hawa ndo waliomzika!

Pia tambua kuwa nchi hii ina tatizo kubwa la ajira, shukuru Mungu kuwa kuna namna japo haipendezi ambayo mamilioni ya wananchi wanajipatia riziki yao. Tafadhali usianze kuwadisturb hawa wamachinga, utapata tabu sana kutawala kama kundi hili la mamilioni litakukataa. Na utapata wakati mgumu zaidi wakitokea watu wa kuwasongesha mtaani.

Pia fahamu kuwa kitendo cha kundi hili kuweza kujipatia riziki kulipunguza sana wimbi la ujambazi mitaani. Chondechonde nakuomba Ndugu Samia, usidisturb kabisa kundi hili bali litafutie utaratibu mzuri wa biashara zao bila kuwaswaga ghafla.

Ndugu, Rais ukivunja vibanda vya wamachinga leo, sisi wenye kipato tutakushangilia, lakini kabla hujafanya hilo jiulize hawa wanaopata rizki kutokana na hivyo vibanda wakale wapi?

Ndugu Rais, naongea haya nikiwa mtu ninayependa miji iwe safi kweli, lakini sasa Wenzetu hawa wanahitaji nao mkono kwenda kinywani tufanyeje?

Angalia dissatisfaction isije ikawa kubwa sana mtaani utapata tabu sana kutawala nchi hii.

Ni lazima uendelee kujali watu masikini bila kuumiza Matajiri, Ukiigeuza serikali yako kuwa ya Matajiri na wenye kipato tu bila kuwaangalia walalahoi utafeli

Kuwa Makini sana!
Siyo miji iwe misafi tu ,Bali uanzishwaji wa biashara ufuate sheria
 
Back
Top Bottom