Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji.
Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu, nikipata na chapati 2 itakuwa safi zaidi japo chapati zinaendana na supu ila sitaki kukusababishia gharama.
Asante.