Usikimbilie kuwaita kimbilia ulicho kisemea
HahahaaaKama wewe ni CHADEMA uukiletewa vitafunwa unaviona hivi ππView attachment 3270845
100 tafuta utaipata ila chai ya ikulu ni ngumu kupatikanaMimi namuomba aniwekee mzigo tu kwenye akaunti yangu kama milioni 100 hivi ili nifungue kampuni na kuajiri vijana kadhaa wapambanaji.
Maana mabenki yetu kiukweli yanatuchakaza sana kupitia riba zao za juu na zisizo rafiki kwa wakopaji. Halafu yana masharti magumu sana kwenye kuomba mkopo.
Mama ameona thread yako, tutakufuata PM kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kufika ikulu.Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji.
Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu, nikipata na chapati 2 itakuwa safi zaidi japo chapati zinaendana na supu ila sitaki kukusababishia gharama.
Asante.
View attachment 3270840
View attachment 3270842